TRA wanamtia hasira sana awamu ya SITA hii mnajinenepea tu hamuwajibiki badala yake mnataka kutumia njia rahisi sana ya kukwapua pesa kwenye account za watu, huo ni ujambazi na it's cheap and desperate move kwa taasisi kiwauwajibikaji mko poor ndiomana mnataka kutumia cheapest options za kijambazi,.
Kuna biashara nyingi sana hawatoi risiti za EFD na ziko bize usiku na mchana na hatuwaoni mmekalia Rushwa ndiomana hamna territorial allocation ya duty stations mnakaa ofisini. Had it been mkawa na mobile daily surveillance, CBD zote hamko efficient.
Biashara za politicians hasa wa Chama na serikali hamfanyi mnaogopa.
Hii ni hatari hii move mnavyofanya the assumption ni kuwa trend ya kimapato ni mbaya kwa mfumo rasmi mmeamua kutumia njia cheap ya kijima kuonea watu, mnajua msipofika lengo mtahukumiwa nyie na vitambi vyenu.
Anzeni na staffs wenye magorofa na assets kibao ambazo hazifanani na mishshara yao na wao wawape kodi na vielelezo vya hizo assets na biashara zao.
Jivikeni kengele tuwaone kama mna uzalendo.
Kodi ni jambo la msingi sana tatizo hamna audacity na integrity ya mnachofanya, hamko clean kwenye corruption, negligence, uncoordinated plans and strategies. Hamko scattered na hamko genuine kiutendaji.
Wawekezaji wadogo hawana friendly enablers za kibiashara na kukuza mitaji, hamna incubation models, hamna parenting kwa wafanyabiashara. Mnajua SMEs at a very infant stage. Morale building kwa start ups nyingi hamna, beginners wengi kibiashara are not happy with you. You kill most start ups businesses from registration phase too much, it's disgusting u have tax holidays for larger capital FDI as enablers mnasahau domestic incubation models,
Hii taasisi ur not living up to the expectations of lifting our society economically.
We wish you stations like police instituted with friendly models of operations.
Kama nyie ndio mnafanya Finance, Accounts, na Economics mko hivyo hii nchi litabaki kuwa Utopolo to any new emerging economy state in our region.