Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza.
Mchezaji anakimbia kama jani la papai linalodondoka... huyo tukubali ni usajili wa Yanga uliofeli.
Kazi yake kuchomekea jezi kuonyesha matako tu.
Kwa sasa hamna kitu, umri umeenda, ilw nguvu na kasi aliyokuwa nayo akiwa Mamelodi sasa hana! Timu kama Mamelodo ambayo inawekeza pesa nyingi haiwezi kumwachia mchezaji tegemezi, hatari na kinara! Ameflot kwa sasa.Peter Shalulile ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Namibia anayecheza nafasi ya mshambuliaji. Anajulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga mabao na amewahi kung'ara katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL) akiwa na klabu ya Mamelodi Sundowns kabla ya kujiunga na klabu ya Young Africans (Yanga SC) ya Tanzania. Pia ni nahodha na kinara wa safu ya ushambuliaji katika timu ya taifa ya Namibia
Hakuna Kijiji kinachokosa wazee.Poster Master kazeeka
Ninascreen-shoot hapa hii comment yakoMchezaji mzuri kwenye dakika chache anajulikana tu, huyo Shalulile akifikisha goli 5 kwenye ligi njoo fufua huu uzi nakupa laki5
hata usijichoshe sana mkuu, unakuta mtoa mada ni pesa iko kwa bank FC. Ndo anatolea hasira zake hapoAna mechi ngapi hapo Yanga? Bongo uvumilivu ni 'F'.
Mkuu nami nimefanya hivyo, sema asibadili ID tu😀Ninascreen-shoot hapa hii comment yako
ana tabia za kike huyo. Lazima atabadili ID siku utabiri wake ukienda komboMkuu nami nimefanya hivyo, sema asibadili ID tu😀
Wacha nitunze risiti yako, yawezekana nikaokota hata 50KMchezaji mzuri kwenye dakika chache anajulikana tu, huyo Shalulile akifikisha goli 5 kwenye ligi njoo fufua huu uzi nakupa laki5
Kwa kweli😀Mkuu nami nimefanya hivyo, sema asibadili ID tu😀
Leo mbona kacheza vizuri sana. Ametoa krosi nzuri tu ya goli, amepress mwanzo mwisho bila kuchoka. Sema timu ya Yanga wachezaji wake wengi bado hawajawa na fitness nzuri akiwemo yeye. Baada ya muda timu zitalia mno.Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza.
Mchezaji anakimbia kama jani la papai linalodondoka... huyo tukubali ni usajili wa Yanga uliofeli.
Kazi yake kuchomekea jezi kuonyesha matako tu.