Iyo laki tano uumpe kwelMchezaji mzuri kwenye dakika chache anajulikana tu, huyo Shalulile akifikisha goli 5 kwenye ligi njoo fufua huu uzi nakupa laki5
Shabiki maandazi huyu.Ana mechi ngapi hapo Yanga? Bongo uvumilivu ni 'F'.
Naona umejiunga humu 2023 pengine hata maana ya ID utakuwa hujui wewe! Huku sio size yako nenda facebook ama instagram ukaandike huu uchafu wako ulioandika hapa!ana tabia za kike huyo. Lazima atabadili ID siku utabiri wake ukienda kombo
Mtoa mada kichwani mwake hakuna akili, kazitia matrakoni huko. Kichwani anatumia maji tuAna Muda gani Yanga ? Unamjudge mtu Kwa mechi 2 ,seriously??
Kimsingi una tatizo la afya ya akili!!! Utakuwa taahira ama una msongo mkali wa mawazo! Huu uzi siyo size yako, hapa utatukana mpaka bibi na babu yako! Na nilijua kuna watu watapanic nyuma ya keyboard kama wewe!Mtoa mada kichwani mwake hakuna akili, kazitia matrakoni huko. Kichwani anatumia maji tu
🤣🤣Usimkatie tamaaMchezaji mzuri kwenye dakika chache anajulikana tu, huyo Shalulile akifikisha goli 5 kwenye ligi njoo fufua huu uzi nakupa laki5
Na mimi ntakua shahidi mazee tugawane huo utumbo..Ninascreen-shoot hapa hii comment yako
Mleta mada ndio hajui mpira.Mbona leo kacheza vizuri sana au mimi ndo sijui mpira?
Wabongo wanachojua ni lawama tu, hata kwa Azizi K walisema hivihivi Sheikh 🤣Ana mechi ngapi hapo Yanga? Bongo uvumilivu ni 'F'.
Lakini bado ndio BINGWA na anakukanda kila siku wewe mwenye pesa zako Benki 🤣🤣🤣Wewe pesa ipo wapi...? Unanuka mikopo kila kona
Duombia nahisi alikuwa mpishi wahuni wa mo na genge lake wakapita nae baada ya kuona mikimbio yake akiwa anakimbilia jikoni kuwahi maziwa aliyokuwa akichemsha yasimwagike.Bora bora huyo kuliko Doumbia aisee
😂😂😂😂😂we jamaa fala sana.Duombia nahisi alikuwa mpishi wahuni wa mo na genge lake wakapita nae baada ya kuona mikimbio yake akiwa anakimbilia jikoni kuwahi maziwa aliyokuwa akichemsha yasimwagike.