Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,215
- 1,594
😄 Ngoja mkeka u-tickNa mimi ntakua shahidi mazee tugawane huo utumbo..
😄 Ngoja mkeka u-tickNa mimi ntakua shahidi mazee tugawane huo utumbo..
Watu mna maneno sana! Amecheza mechi ngapi mpaka mfikie hii hatua ya kumhukumu?Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza.
Mchezaji anakimbia kama jani la papai linalodondoka... huyo tukubali ni usajili wa Yanga uliofeli.
Kazi yake kuchomekea jezi kuonyesha matako tu.
Sema tukidai sana tunaweza kupigwa Ban anamuwekea dhamana Shasta kuwa awezi kupata goli tano..😄 Ngoja mkeka u-tick
Usikate mkuu, wewe ni shabiki maandazi.Wewe ni mpumbavu, katika kilichoandikwa kuna ushabiki gani? Bila shaka wewe wewe ndie shabiki na wala halina shaka, lakini ushabiki wako ni wa kipumbavu bora shabiki maandazi...panic
Hawezi kukuelewa huyo, ashakalilishwa banda umiza kua Shasha man hamna kitu, kalibeba hivohivo.Watu mna maneno sana! Amecheza mechi ngapi mpaka mfikie hii hatua ya kumhukumu?
Yale yale ya mshambuliaji kinara wa simba Ibrahim Osimhen Doumbia! Kuna watu wenye mtazamo kama huu wa kwako wanamdis, kisa tu hajaanza kuonesha makali yake. Tuwape muda hawa wachezaji ili wazoee soka letu
Jamaa ni wakawaida sana😂😂😂😂😂we jamaa fala sana.
Na wengi ni hivyo wachezaji wa level za kawaida mnoWachezaji hawa wa kigeni wengi hawana lolote kabisa ni mbinu ya upigaji wa hela tu.
Ikawaje muzeye?Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza.
Mchezaji anakimbia kama jani la papai linalodondoka... huyo tukubali ni usajili wa Yanga uliofeli.
Kazi yake kuchomekea jezi kuonyesha matako tu.