Huyu Peter Shalulile ni kiporo cha ugali, usajili wake ni wa mhemko tu, hamna mchezaji hapo

Watu mna maneno sana! Amecheza mechi ngapi mpaka mfikie hii hatua ya kumhukumu?

Yale yale ya mshambuliaji kinara wa simba Ibrahim Osimhen Doumbia! Kuna watu wenye mtazamo kama huu wa kwako wanamdis, kisa tu hajaanza kuonesha makali yake. Tuwape muda hawa wachezaji ili wazoee soka letu
 
Wewe ni mpumbavu, katika kilichoandikwa kuna ushabiki gani? Bila shaka wewe wewe ndie shabiki na wala halina shaka, lakini ushabiki wako ni wa kipumbavu bora shabiki maandazi...panic
Usikate mkuu, wewe ni shabiki maandazi.

Game 2 tu tayari ushaona kiwango cha mchezaji ambae hukua unamfatilia kabla?

Huo ndo ushabiki maandazi wenyewe.
 
Hawezi kukuelewa huyo, ashakalilishwa banda umiza kua Shasha man hamna kitu, kalibeba hivohivo.
 
Ikawaje muzeye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…