Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Licha ya ushamba, lakini pia hiyo siyo sare rasmi ya JWTZ. Ni sare ya kijeshi au mfanano wa nchi nyingine na Tena sidhani kama ni Africa South of Sahara. Hayo mabaka yanaanzia North Africa kuelekea nchi za mabeberu.
 
Hata bongo miaka ya nyuma zilikuwa nguo za kawaida tumevaa sana mitumba ya mabaka ya jeshi hapo nyuma ila siku hizi hata ukikutwa na soksi yenye mabaka ya jeshi hilo jam lake maji utayaita mai.
 
Inashangaza hata aliyekuwa Amiri Jeshi Ngazi ya Taifa Mstaafu lieutenant colonel Rais Jakaya Mrisho Kikwete sikumbuki akivaa gwanda la TPDF / JWTZ katika utumishi wake kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

HUYU MKWERE ALIKUWA HUKO SIO KAMA ASKARI BALI ALIKU "MGAMBO" HIVYO ALIKUWA ANAONA HAYA KUVALIA KIASKARI!!!
 
Na sijui hiyo sare imemsaidia nini Katika kuokoa Maisha ya wahanga wa mafuriko maana watu wanakufa tu, yeye amevaa Ili apige picha za Televisheni

Na wewe mwanadamu inakusaidia nini kumjadli mwanamume. Bongo wote wambeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…