tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
Roho tu ya kwann na kimaskini, halafu mtu kama huyo unaweza akakuta anajifanya mkristo au muislam safiUkimbania kijana unaumiza watu wengi sana nyuma yake, wazazi, kizazi chake kijacho, wadogo zake na hata taifa! Leo hii diamond kwenye chain yake wengi wametoka hata bwana wa antiezekiel anategemea kwa mond! Umaskini wetu unatokana na tabia zetu za ajabu ajabu
Yupo wazi anapatikana Mikocheni. Wanamiliki "dalili ya mvua" kiingereza, Tv na Redio. Hao wana roho mbaya sana.hvi huyo aliyembania chanel o ni nan mbna nnaham ya kumfaham
Ufafanuzi tafadhari kwenye RED.
Halafu Mr. Nice alishindwa kufanya kazi na Sallam... mbuzi wa maskini!
Jamani mpaka natetemeka nikikumbuka awa watu. Puzzo naskia bado yupo Scandinavia nafikiri ata ziara ya Dai huko kahusika connection. Sallam pia alishawai kuishi huko kidogo akifanya biashara baada ya TOT kufa.Robert makasi aka Puzzo sijui yuko wapi huyu jamaa
Sallam ni muwazi sana yani ni mtu pekee anayeweza kumwambia straight Diamond kwamba show ya leo umechemsha , hii nyimbo ni mbaya usitoe, watu hawapendi tabia hii iache nkNimerudia kisoma Mara mbili mbili jamaa hana uswahili, ukimzingua anakufuata anakuchana maisha yanaendelea .
Tupe info kidogo za huyo mdauLabda Leo watu wakiambiwa juu ya Mtanzania ambaye Ni mdau mkubwa WA muziki aliyekuwa akimkwamisha Diamond ili asipate airtime Channel O kama salama anavyosema, hawataamini, Kila siku huwa nasema mdau huyo kakatisha ndoto za wasanii wengi!
Sio kumuambia tu na kumfokea juuSallam ni muwazi sana yani ni mtu pekee anayeweza kumwambia straight Diamond kwamba show ya leo umechemsha , hii nyimbo ni mbaya usitoe, watu hawapendi tabia hii iache nk
Hapa sio kweli hamna connection kati ya channel o n clouds kuna mtu mwingine sio huyoYupo wazi anapatikana Mikocheni. Wanamiliki "dalili ya mvua" kiingereza, Tv na Redio. Hao wana roho mbaya sana.