tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
Roho tu ya kwann na kimaskini, halafu mtu kama huyo unaweza akakuta anajifanya mkristo au muislam safiUkimbania kijana unaumiza watu wengi sana nyuma yake, wazazi, kizazi chake kijacho, wadogo zake na hata taifa! Leo hii diamond kwenye chain yake wengi wametoka hata bwana wa antiezekiel anategemea kwa mond! Umaskini wetu unatokana na tabia zetu za ajabu ajabu