Ukiruhusu kuwa na upinzani kwenye jimbo lako
1) Hata ukiwashinda, upinzani utaanza kupata nguvu pole pole. Awamu mbili za uchaguzi wawezajikuta huna chako. Hata kwenye uraisi. Kwa hiyo mtu hataki upinzani uzoeleke.
2) Kuna watu wanaweza kujieleza majukwaani na ushawishi kwenye kujieleza wakawafungua wananchi akili. Wanananchi wakajua wanastahili zaidi ya wanachokipata. Kwahiyo hataki wananchi wamsikie MTU mwingine.
3) Mtu anaweza akawa ana kashfa ambazo zinajulikana na wachache,mpinzani wako humchagulii cha kusema jukwaani. Kashfa zinawezaelezwa kwa mifano iliyoshiba mpaka ikaaminika.
Kuepuka yote hayo MTU anaona bora awe peke yake