Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mwarabu au Mhindi siyo mtu hata siku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh mbona kaandika facts tupu??
Jr[emoji769]
Swali gani sasa?yaani kuumiza kichwa huwezi unauliza swali la kitoto,kama angekuwa hana uhakika angekuja hapa kuandika?yani jiwe amewapumbaza sana.
Ukiwekewa ushahidi kama ule wa Rushwa ya Mnyeti utakuwa tayari kuukubali ?Hilo la kutoa rushwa linataka ushahidi sana mkuu
Yuda alihongwa dinari 30 na hakuna mstari unaosema alichuma dhambi,Chama cha Mapinduzi kitapeleka wengi sana jehanamu kwenye moto wa milele.
Imeandikwa, ashirikianaye na mwovu au kuunyamazia uovu machoni pake hata kimbia hasira za Mungu.
Kasaidie wananchi misiba, ndoa na sherehe utarajie kupewa Jimbo mikoa ya Arusha na kilimanjaro.
Hawa ni sawa na watu kama Gwajima, hawaendi bungeni ili kuongeza kipato ingawa wanaongeza. Lengo lao kubwa ni kujiwekea ulinzi dhidi ya maovu yao! Basi!Kuna mtu anamiki kampuni ya mabus, tunapanda tunalipa nauli na kusafirisha mizigo, anamiliki radio, tunasikiliza tunashirikiana naye anafanikiwa.
Fedha zetu za nauli anazitumia kuhonga kwa tume na wagombea asipige kampeni Bali apite bila kupingwa. Mtu huyu anashindwa kujua ridhiki inatoka kwa Mungu, anashindwa kujua Kuna siku Mali tutaziacha hapa Duniani. Anashindwa kujua dua za wanannchi wanaolilia haki ipo siku zitapokelewa na ataadhibiwa.
Unamiliki mabilioni ya fedha unaongaje kupata milioni kumi kwa mwezi? Unaongaje kupata kiinua mgongo za milioni mia tatu kwa miaka mitano? Mbona haya ni mapato yako ya siku?
Kwanini ufike mahali ushindwe kupambana jukwaani na mwenzako hadi utumie fedha kununua madaraka? Kuwapa watendaji wa serikali mafuta na usafiri kunakufanya wewe uwe exceptional kwenye uchaguzi? Kama unaamini umefanya kwanini usiende kwa wananchi kuwaeleza ulichofanya?
Naumia sana kuona huyu mzee anajiingiza kwenye Mambo ya giza wakati anao uwezo mkubwa wakumtumikia Mungu, kuwatumikia wananchi kwa haki na kusimamia adhi yake.
Huyu mzee sidhani kama alipaswa kuwa hapa alipo Sasa, natamani nikae nae Kama dada yake nimkanye ila sina nafasi yakumwona. This is not Abood i use to know! Lipo tatizo, uwezi kuwa mwema utotoni ukawa shetani uzeeni, it marks bad ending.
Elimu elimu elimu, Rombo.. Prof Adolf mkenda, siha... Dr mollel, vunjo... Dr Kimei, same... Dr mathayo , Moshi ...prof NdakidemiKwahiyo Arusha na kilimanjaro mnapewa nini na nini mpaka unatoa kura ,? Pombe na ganja au?
Mwachie ashibe malipo ni presha ya macho na moyo wewe usiogope Tahiti akizid neemeka mbele ya Mungu sote nikama majani Tu.Kuna mtu anamiki kampuni ya mabus, tunapanda tunalipa nauli na kusafirisha mizigo, anamiliki radio, tunasikiliza tunashirikiana naye anafanikiwa.
Fedha zetu za nauli anazitumia kuhonga kwa tume na wagombea asipige kampeni Bali apite bila kupingwa. Mtu huyu anashindwa kujua ridhiki inatoka kwa Mungu, anashindwa kujua Kuna siku Mali tutaziacha hapa Duniani. Anashindwa kujua dua za wanannchi wanaolilia haki ipo siku zitapokelewa na ataadhibiwa.
Unamiliki mabilioni ya fedha unaongaje kupata milioni kumi kwa mwezi? Unaongaje kupata kiinua mgongo za milioni mia tatu kwa miaka mitano? Mbona haya ni mapato yako ya siku?
Kwanini ufike mahali ushindwe kupambana jukwaani na mwenzako hadi utumie fedha kununua madaraka? Kuwapa watendaji wa serikali mafuta na usafiri kunakufanya wewe uwe exceptional kwenye uchaguzi? Kama unaamini umefanya kwanini usiende kwa wananchi kuwaeleza ulichofanya?
Naumia sana kuona huyu mzee anajiingiza kwenye Mambo ya giza wakati anao uwezo mkubwa wakumtumikia Mungu, kuwatumikia wananchi kwa haki na kusimamia adhi yake.
Huyu mzee sidhani kama alipaswa kuwa hapa alipo Sasa, natamani nikae nae Kama dada yake nimkanye ila sina nafasi yakumwona. This is not Abood i use to know! Lipo tatizo, uwezi kuwa mwema utotoni ukawa shetani uzeeni, it marks bad ending.
Ukiwekewa ushahidi kama ule wa Rushwa ya Mnyeti utakuwa tayari kuukubali ?
Inasikitisha jinsi ccm wanavyovuruga uchaguzi mkuu, walivuruga ule wa serikali za mitaa mwaka jana, watu wakawachukulia poa tu, mwaka huu tusikubali ushenzi huu urudiwe.Kuna mtu anamiki kampuni ya mabus, tunapanda tunalipa nauli na kusafirisha mizigo, anamiliki radio, tunasikiliza tunashirikiana naye anafanikiwa.
Fedha zetu za nauli anazitumia kuhonga kwa tume na wagombea asipige kampeni Bali apite bila kupingwa. Mtu huyu anashindwa kujua ridhiki inatoka kwa Mungu, anashindwa kujua Kuna siku Mali tutaziacha hapa Duniani. Anashindwa kujua dua za wanannchi wanaolilia haki ipo siku zitapokelewa na ataadhibiwa.
Unamiliki mabilioni ya fedha unaongaje kupata milioni kumi kwa mwezi? Unaongaje kupata kiinua mgongo za milioni mia tatu kwa miaka mitano? Mbona haya ni mapato yako ya siku?
Kwanini ufike mahali ushindwe kupambana jukwaani na mwenzako hadi utumie fedha kununua madaraka? Kuwapa watendaji wa serikali mafuta na usafiri kunakufanya wewe uwe exceptional kwenye uchaguzi? Kama unaamini umefanya kwanini usiende kwa wananchi kuwaeleza ulichofanya?
Naumia sana kuona huyu mzee anajiingiza kwenye Mambo ya giza wakati anao uwezo mkubwa wakumtumikia Mungu, kuwatumikia wananchi kwa haki na kusimamia adhi yake.
Huyu mzee sidhani kama alipaswa kuwa hapa alipo Sasa, natamani nikae nae Kama dada yake nimkanye ila sina nafasi yakumwona. This is not Abood i use to know! Lipo tatizo, uwezi kuwa mwema utotoni ukawa shetani uzeeni, it marks bad ending.
Hakuna zamu ya kuvuna kwa hila acheni ujinga huu.Katika wanasiasa wavumilivu, Abood ni mmoja wapo. Huko nyuma kila alipokuwa akigombea, jina lake lilikuwa linafyekwa likifika Dodoma. Ameshafyekwa si chini ya mara mbili ila hakukata tamaa. Nakumbuka alishawahi kuwapa CCM Landcruiser mkonga nje (pick up la kijani kama sikosei). Sasa naona ni zamu yake kuvuna.
Sio kweli. Kwenye ukweli pasemwa, jamaa hakuna anaeweza kusimama nae na akashinda hapo Morogoro. Wananchi wanamkubali sana. Huwa anashinda kihalali kabisa bila zengwe.