Uchaguzi 2020 Huyu siyo Abood ninayemjua. Huwezi kuwa mwema utotoni ukawa shetani uzeeni

Shida hapo sio Abood ni waluguru kichwani maboga tu! Yaani kusaidiwa bus kuwapeleka Kola makaburini na kurudi pale msiba unapotokea Manispaa ya Morogoro utawambia nini juu ya Abood Waluguru!!!
 
Swali gani sasa?yaani kuumiza kichwa huwezi unauliza swali la kitoto,kama angekuwa hana uhakika angekuja hapa kuandika?yani jiwe amewapumbaza sana.

Mkuu mambo ya rushwa ni ya siri,ndio maana alivyotoa tuhuma hizo nimeshangaa bila kuweka ushahidi ulio bayana
 
Taarifa ya rushwa aliyomwaga mtu huyu kwa ofisi ya mkurugenzi na jeshi la polisi ikiwekwa hadharani nchi itatikisika
 
Chama cha Mapinduzi kitapeleka wengi sana jehanamu kwenye moto wa milele.
Imeandikwa, ashirikianaye na mwovu au kuunyamazia uovu machoni pake hata kimbia hasira za Mungu.
Yuda alihongwa dinari 30 na hakuna mstari unaosema alichuma dhambi,
 
Abood useless kabisa mwaka wa 10 huu kihonda tangu ipanuke na kuwa mji mkubwa lakini Kuna shida za maji Wala hajisumbui kupiga kelele huko bungeni .

Yeye na biashara zake tu

Huyu jamaa alipaswa atoke hapo na yeye anajua watu wamemchoka

Ila Sasa nguvu ya pesa inamfanya abaki hako .
 
Kasaidie wananchi misiba, ndoa na sherehe utarajie kupewa Jimbo mikoa ya Arusha na kilimanjaro.

Kwahiyo Arusha na kilimanjaro mnapewa nini na nini mpaka unatoa kura ,? Pombe na ganja au?
 
Hawa ni sawa na watu kama Gwajima, hawaendi bungeni ili kuongeza kipato ingawa wanaongeza. Lengo lao kubwa ni kujiwekea ulinzi dhidi ya maovu yao! Basi!
 
Kwahiyo Arusha na kilimanjaro mnapewa nini na nini mpaka unatoa kura ,? Pombe na ganja au?
Elimu elimu elimu, Rombo.. Prof Adolf mkenda, siha... Dr mollel, vunjo... Dr Kimei, same... Dr mathayo , Moshi ...prof Ndakidemi
 
Mwachie ashibe malipo ni presha ya macho na moyo wewe usiogope Tahiti akizid neemeka mbele ya Mungu sote nikama majani Tu.
 
Kila siku ni vilio tu huko chadema yaani hakuna jema wanaloona hawa jamaa.

Negative minded people.
 
Inabidi apigwe vikwazo vya kiuchumi huyo abood. Inatakiwa watu wagome kupanda mabasi yake mpaka ajiuzulu ubunge.
 
Inasikitisha jinsi ccm wanavyovuruga uchaguzi mkuu, walivuruga ule wa serikali za mitaa mwaka jana, watu wakawachukulia poa tu, mwaka huu tusikubali ushenzi huu urudiwe.
 
Hakuna zamu ya kuvuna kwa hila acheni ujinga huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…