Utazuia risasi ya mbali hata Kama hunanhigj heels? Anyway taratibu zifuatweMfumo wa ulinzi wa mama unatia shaka pakubwa sana kuna picha moja nimeona mlinzi mwanamama kavaa high heels? Hivi wapo serious kweli na uhai wa huyu mama?
Ni kawaida kwa walinzi wa kike kuvaa travolta ila huyu kanishtua kwa kweli leo, mlinzi anavaa kama anaenda ofisini.
Usalama wa Rais ni kitu kidogo?Acha petty issues kashughulike na sheria mahakamani. Nenda jukawaa la Sheria , toà elimu huko. Acha viti vidogo kama hivi
Sema bosi wake alimkata jicho la onyo baada ya saluti jicho lililokuwa linamwambia we mpumbavu uliamkia kilabuni nini?
Kwakweli siku zote nimeshindwa kuwaelewa hawa walinzi wa mama, sometimes wanakuwa kama ni makauzu vile. Hata mpambe nae ADC nae iko shiida kidogo, hebu tena kidogo wanaweza kuwa walinzi wazuri.Naona wale kina mama walikuwa wanashangaa tu na barakoa zao no reaction kabisa labda kidogo yule npambe wa raisi nimeona akishusha mikono kuelejea kiunoni labda kujiandaaa kutoa silaha yoyote (kama kweli alikuwa nayo)
hahhahaAlikuwa anatoka wapi huyo ama alitaka kumuomba mama Samia hela ya kubrushia viatu
Wale wa Magufuli walikuwa na mavitambi kabisaSifa moja wapo ya mlinzi wa raisi ni kuwa na mwili mkubwa pia ukakamavu ukiangalia kwa makini hawa walinzi wa sasa wa mama ni kama vile ni hawana miili ya mazoezi, wale waliokuwa wanamlinda Mzee Magufuli walitoka wapi mbona walikuwa wanaonekana wapo fit tofouti na hawa wa sasa.
Ndio kila mtu ana majukumu na mipaka yake ya kazi, hakutakiwa kupita karibu hivyo ndio maama walinzi wote hao hadi Kamanda wake wameshangazwa, pamoja wale waliomzuia kupitaKwani nae si ni askari na ameapa kiapo cha utiifu? Kwanini iwazwe kuwa yeye tu anaweza kumdhuru Rais? Kwani walinzi wake hawawezi kumdhuru Rais? Mbona Marais kibao tu duniani wameuawa na walinzi wao?
Wewe unaweza ulinzi kuwazidi?Kwakweli siku zote nimeshindwa kuwaelewa hawa walinzi wa mama, sometimes wanakuwa kama ni makauzu vile. Hata mpambe nae ADC nae iko shiida kidogo, hebu tena kidogo wanaweza kuwa walinzi wazuri.
Mama akiwa anashuka au kupanda kwenye ndege ndio utaona haswaa ukauzu wao[emoji38][emoji38][emoji38] to extent kwamba hawajui wanatakiwa wakae upande gani!
Hebu CDF Mabeyo na mkuu wa PSU rekebisheni hilo, lakini sio kwa kuwaondoa hao akina mama isipokuwa waongezeeni kidoogo technicalities za ulinzi kwa Kiongozi
Mkuu tuwe wakweli hapo walinzi wote walikuwa alert ndio maana amefukuzwa kusogea karibu.Mambo ya ulinzi wa rais bado sana
Kama Rais wa ufaransa anapigwa makofi ije kuwa bongo bado sana
Mungu alinde viongozi wetu