educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 395
- 455
Mwenzie anawaza uwaziri hapo alipoNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Yani uache kuwashangaa wanaume wanaotoboa pua na masikio uje kumshangaa mwanaccm? Mwaka huu unakimbia Kwa kasi sanaNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Sikubaliani na uchawa wowote kwa hili. Sababu ni mjumbe na alikuwa ukumbini hakuvamia. Kuvaa chochote ni haki yake. Sijui amekuudhi nini mkuu. Hata Chadema wana uhuru wa kuvaa kwa mbwembwe zaoSio furaha huo ni uchawa, huyo hawezi kuwa na furaha na ccm kuliko wakina JK, huyo ni chawa anatafuta macho ya watu wammulike
Huwezi kuona Mbowe anavaa huo upuuzi wala Lissu ila Chawa wao wanaweza kuvaa maana wanataka waonekana kuwa wapo , hii ni kwasababu hawana huo umuhimu, sawa na kale kajamaa ka ccmSikubaliani na uchawa wowote kwa hili. Sababu ni mjumbe na alikuwa ukumbini hakuvamia. Kuvaa chochote ni haki yake. Sijui amekuudhi nini mkuu. Hata Chadema wana uhuru wa kuvaa kwa mbwembwe zao
Ziwe real au vyovyote sioni ubaya. Usikute hakuwaza lolote kama kupata sifa au attention ya media.Hivi hizo miwani ni real au Filtter?
Sasa huyu ana tofauti gani na hao?Yani uache kuwashangaa wanaume wanaotoboa pua na masikio uje kumshangaa mwanaccm? Mwaka huu unakimbia Kwa kasi sana
Hongera mkuu kwa uwezo wako wa kusoma mawazo ya wengine!!Ziwe real au vyovyote sioni ubaya. Usikute hakuwaza lolote kama kupata sifa au attention ya media.
Kwa hiyo wale mashabiki wa mpira wanaojichora Hadi bendera za nchi/klabu nao utawachukuliaje? Sina hakika kama unamchukia huyo jamaa Kwa ufuasi wake au una chuki na chama, ukute huyo jamaa kapewa Hiyo mask avae na 100k Iko mfukoni hapo shida Iko wapi?Sasa huyu ana tofauti gani na hao?
Daaah.... Sasa nimekuelewa. Kuwa ukipewa pesa unaweza fanya anything.Kwa hiyo wale mashabiki wa mpira wanaojichora Hadi bendera za nchi/klabu nao utawachukuliaje? Sina hakika kama unamchukia huyo jamaa Kwa ufuasi wake au una chuki na chama, ukute huyo jamaa kapewa Hiyo mask avae na 100k Iko mfukoni hapo shida Iko wapi?
Ni mipumbavu minyumbu hiyo, wamepigwa matobo na mama Samia Sasa inaweweseka tu. Hivi hapo anajaribu kutoa frustrations alizonazo baada ya bao la sarakasi walilopigwa na mama. Wakikumbuka mchama wao unasambaratika hivi Sasa basi wanajikuta wanamchukia Kila mtu asiye wao.......nyambaaaafWewe una chuki zisizo na Sababu, yeye anajua ana nufaika vipi kuwa kada wa Chama Cha mapinduzi.
Nawewe kama utaona inafaa tafuta Chama na uonyeshe mapenzi yaliyo tukuka kwa icho Chama.
Kuwa chukia wengine haitabadili maisha Yako na kutafuta maradhi ya Moyo sababu ya chuki.
Chuki ni Sumu.
Do not think about negative, just three things at onceDaaah.... Sasa nimekuelewa. Kuwa ukipewa pesa unaweza fanya anything.
GOVERNMENT(Man or human) by nature is A POLITICAL ANIMAL. Aristotle (384–322 BC)Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Ni bora uishi simple kuliko hicho wanachokifanya wajumbeDo not think about negative, just three things at once
1. Knowledge 2.Sobber 3.Decide, ifike hatua turelax, Only being adult positively can make you strong.
I am very positive but astonished by your concern.Do not think about negative, just three things at once
1. Knowledge 2.Sobber 3.Decide, ifike hatua turelax, Only being adult positively can make you strong.
We ht uzaliwe Mara ya pili huwezi mfikia, amekosea nn, acha mtu ashabikie kt roho yake inapenda. Ametokelezea acha wivu we fukaraNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Upumbavu mtupuWe ht uzaliwe Mara ya pili huwezi mfikia, amekosea nn, acha mtu ashabikie kt roho yake inapenda. Ametokelezea acha wivu we fukara
Siwezi zaliwa mara ya pili kisha nikashuka kuwa mtu wa hovyo. Nilipo hapa nipo nafasi ambayo inanishangaza mwanaume mtu mzima anawezaje kuwa hivyo. Wewe level yako unaona ameyapatia maisha.... Nakuelewa.We ht uzaliwe Mara ya pili huwezi mfikia, amekosea nn, acha mtu ashabikie kt roho yake inapenda. Ametokelezea acha wivu we fukara
Ungekuwa positive usingeonesha chuki za wazi Kwa mtu ambaye hujui anafanya Hivyo Kwa sababu zipi. Ushabiki, uchawa, ukada, yote ni matokeo ya vinavyotusukuma kuwa kwenye Hali kama hizoI am very positive but astonished by your concern.