Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Kwa hiyo Mzee wetu wa msoga haya mazongezonge anazushiwa tu au na yeye kashapewa U-Zanzibar?Huu ujumbe niliuandika na kumpa mtu mashuhuri auchalaze sehemu Ila ame delay nauleta mwenyewe
Ni week ya 3 sasa am sick ila na recover
Naandika kwa umakini Uzi usifutwe au ukawaletea matatizo JF
Inashangaza kuona kwa level ya kutokuwaamini Watanganyika, kuna baadhi ya Viongozi hasa wa Jeshi na ndani ya CCM wameamua kutumika kuhalalisha kilicho wazi kabisa cha Mhaini Suluhu Hassan kutumia baadhi ya Wazanzibari kutekeleza AZMA yake.
1. Waliohusika kwenye kuuza bandari kwa DP world wengi walikuwa Wazanzibari. Akianzia Mhaini mwenyewe, mpaka aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi kipindi kile Mbarawa. Kumbuka hawakuuza za bandari za Zanzibar. vikao vilianzia dar Kisutu wakamalizia Kizimkazi, John wa Saphire Hotel unajua
2. Waliohusika kufungua kesi ya kuifungia Chadema walikuwa Wazanzibari. Aliyeshitaki alikuwa Said Issa Mohammed, na Jaji alikuwa Mzanzibari. Hii iko wazi na walipewa na Pesa sh 120M kuendesha shughuli zote za kesi na pesa ilipitia kwa KASABO
3. Walihusika kufungua kesi ya kukamatwa kwa viongozi wa Chadema walikuwa Wazanzibari, wakiongozwa na Said Issa Mohammed tena.
4. Waliohusika kuvuga NCCR Mageuzi na kumtoa Mbatia kwa vikao vilivyotengenezwa na TISS, ni Wazanzibari wakiongozwa na Haji Ambar Khamis (Mzanzibari) ambaye ndiye alifadhiliwa kufanya hayo mapinduzi.
5. Hata walipokuwa wanapanga kufanya hijack ya uchaguzi ndani ya CCM,(Suala letu la July July)Mhaini alienda kujificha Zanzibar kariba mwezi wakipanga na Wazanzibar wengine jinsi ya kujiteua. Waligawa hela sana kufanikisha hilo.
6. Ambaye amepanga maangamizi ya Watanganyika ni Abdul akishirikiana na Haji Omar Kheir (Mshauri maalumu) wa Mhaini.
7. Waliotekeleza mauaji kwa kiasi kikubwa walikuwa KMKM ambao wote ni Wazanzibari.
Hii ni hatari sana. Na wale wenye nguvu ya kufanya jambo kurekebisha hali hii, wamekaa tu wakiona Watanganyika wanauwawa na rasimali zake zikimalizwa.
Somebody must wake up!
Britanicca
Itoshe kusema tu "wewe ni mpumbavu" maana mjinga anayo nafasi ya kujifunzaWewe mtu kwa kuandika habari za uwongo naona umekubuhu. Alieyesambaratisha NCCR ni Joseph Selasini, mchagga kutoka Rombo.
Acha kujenga chuki kwa Watanzania dhidi ya Serikali yao.
Najuwa unaumwa kwa sababu unabii/ utabiri wako wa mambo mengi umefeli. Unajifanya eti una nyeti za ndani, kumbe uzushi tu
Kulinganisha na damu za wasiokuwa na hatia, hiyo si kitu.Naona kapewa ndogo na samuya
Hujuma tuKwanini wawepo ktk kila deal
HII NI CHUKI IMEPANDIKIZWA KUSUDI DHIDI YA WA ZANZIBAR
KILA KITU WATU WANAJUA KUWA NI CCM ILIYOFANYA HAYA, LAKINI SASA KWA VILE WATU WANA CHUKI NA WA ZANZIBARI NI KIBAO KIMEGEUKA KWA WA ZANZIBAR.
MTU CHUKI IKIMZIDI HUWA HATA AKİLİ HUMRUKA.
WATU WANGEKUWA HAWANA CHUKU HII FIMBO TULOPIGWA NA MUNGU TUNGETAFAKARI
LAKINI NDIO KWANZA CHUKI INAZIDI KUPANDIKIZWA KAMA VILE MTU WA BARA HATA MMOJA HAHUSIKI NA HAYA MAUAJI.
THIS IS NOT RIGHT
Kwa hali ilivyo ya kiburi na dharau kwa raia, si busara kufuta uzi wowote unaosaidia kuwapa mbinu waandamanaji wasio na uzoefu wa mbinu za medani na za kivita.Niliandika uzi humu jf kuhsu mbinu zitakazokuwapo ukafutwa kabla ya kct 29
Sawa, leo ni miaka zaidi ya 20 sasa hayupo what is the way forward.Aliyesababisha yote haya ni Julius Nyerere,kisa kupenda madaraka na kuwa Rais wa JMT.Kumbuka kipindi cha Nyerere makamu wa Rais walikuwa watanganyika .Julius alipoacha Urais akatuachia katiba ya sijui Rais akiwa mtanganyika basi makamu awe mzenji na the other way around. Binafsi hakukuwa na sababu za kuungana na Zanzibar kabisa,sababu kuu ni ndoto za Julius kuwa Rais wa territory kubwa.Kenya walimkatalia .Julius alitaka miungano ila aliiimpozi yeye ndo awe Rais wa muungano.
AiseeeHii ndio kazi ya kikwete, kupitia hawa huyo ameir anafanya anachotaka tanganyika1
1. Rear Admiral Ameir Hassan aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Okt 2023 hadi sasa.
2. Kwa sasa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu ipo chini ya Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo kuanzia tarehe 28 Disemba 2022 akipokea kijiti hicho toka kwa Meja Jenerali Antony Chacha Sibuti (Mstaafu).
3. Meja Jenerali Shabani Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa..
4. Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Nkambi
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa
6. Chief of Defence intelligence Mbaraka Mkeremy
7. Chief of Staff Salum Haji Othman
Huu ujumbe niliuandika na kumpa mtu mashuhuri auchalaze sehemu Ila ame delay nauleta mwenyewe
Ni week ya 3 sasa am sick ila na recover
Naandika kwa umakini Uzi usifutwe au ukawaletea matatizo JF
Inashangaza kuona kwa level ya kutokuwaamini Watanganyika, kuna baadhi ya Viongozi hasa wa Jeshi na ndani ya CCM wameamua kutumika kuhalalisha kilicho wazi kabisa cha Mhaini Suluhu Hassan kutumia baadhi ya Wazanzibari kutekeleza AZMA yake.
1. Waliohusika kwenye kuuza bandari kwa DP world wengi walikuwa Wazanzibari. Akianzia Mhaini mwenyewe, mpaka aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi kipindi kile Mbarawa. Kumbuka hawakuuza za bandari za Zanzibar. vikao vilianzia dar Kisutu wakamalizia Kizimkazi, John wa Saphire Hotel unajua
2. Waliohusika kufungua kesi ya kuifungia Chadema walikuwa Wazanzibari. Aliyeshitaki alikuwa Said Issa Mohammed, na Jaji alikuwa Mzanzibari. Hii iko wazi na walipewa na Pesa sh 120M kuendesha shughuli zote za kesi na pesa ilipitia kwa KASABO
3. Walihusika kufungua kesi ya kukamatwa kwa viongozi wa Chadema walikuwa Wazanzibari, wakiongozwa na Said Issa Mohammed tena.
4. Waliohusika kuvuga NCCR Mageuzi na kumtoa Mbatia kwa vikao vilivyotengenezwa na TISS, ni Wazanzibari wakiongozwa na Haji Ambar Khamis (Mzanzibari) ambaye ndiye alifadhiliwa kufanya hayo mapinduzi.
5. Hata walipokuwa wanapanga kufanya hijack ya uchaguzi ndani ya CCM,(Suala letu la July July)Mhaini alienda kujificha Zanzibar kariba mwezi wakipanga na Wazanzibar wengine jinsi ya kujiteua. Waligawa hela sana kufanikisha hilo.
6. Ambaye amepanga maangamizi ya Watanganyika ni Abdul akishirikiana na Haji Omar Kheir (Mshauri maalumu) wa Mhaini.
7. Waliotekeleza mauaji kwa kiasi kikubwa walikuwa KMKM ambao wote ni Wazanzibari.
Hii ni hatari sana. Na wale wenye nguvu ya kufanya jambo kurekebisha hali hii, wamekaa tu wakiona Watanganyika wanauwawa na rasimali zake zikimalizwa.
Somebody must wake up!
Britanicca
kuachana na muungano,au haki sawa kwa wote.yaani watanganyika wawe na haki sawa na wazenj huko Zanzibari.Sawa, leo ni miaka zaidi ya 20 sasa hayupo what is the way forward.
Hujuma vipi wapo hawapoHujuma tu
KabisaKwa hali ilivyo ya kiburi na dharau kwa raia, si busara kufuta uzi wowote unaosaidia kuwapa mbinu waandamanaji wasio na uzoefu wa mbinu za medani na za kivita.
Kama polisi wanapata fursa ya kulenga mtu kichwani ni wazi kuwa ni watu waliodhamiria hivyo ni muhimu kwa yeyote mwenye ujuzi awashirikishe wengine ili tulindane kumkabili adui ambaye ni Jeshi la polisi.
Nakupa dondoo tu.Wewe mtu kwa kuandika habari za uwongo naona umekubuhu. Alieyesambaratisha NCCR ni Joseph Selasini, mchagga kutoka Rombo.
Acha kujenga chuki kwa Watanzania dhidi ya Serikali yao.
Najuwa unaumwa kwa sababu unabii/ utabiri wako wa mambo mengi umefeli. Unajifanya eti una nyeti za ndani, kumbe uzushi tu
HawapoHujuma vipi wapo hawapo
Nimecheka utafikiri yanafurahisha.K mzee,si uliona lile kumbatio unafanya mchezo
Mzanzibari piqSalum Haji Othman
Pussy gani ina nguvu hivyo tena kwa mzee wa miaka 75?Power of pussy
KMKM pamoja na Mazombi kabla ya uchaguzi Evarist Chahali alisemaHaji Omar Kheir 2020 aliwatesa sana akina Jussa kwa kuwapiga na kuwachoma kwa pasi za umeme, aliwatesa sana ACT Wazalendo, na huwa anaongoza kikosi maalumu cha utekaji kule ZANZIBAR. Huenda ndo aliyeleta kikosi cha KMKM ambacho kimekuja kuua maelfubya watanganyika huku.