I am sorry on behalf of my country- Tundu Lissu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Hii ni kauli ya Lissu kwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya, Mhe. David Maraga mahakamani Kisutu leo hii.

Ni maneno machache lakini yenye kuonyesha IQ kubwa ya Mhe. Lissu.

Mtu mwingine wangeweza tu kusalimiana na kuendelea na mazungumzo mengine.

Pia, kauli hii ya Lissu ni aibu na fedheha kwa serikali.
 
Hii ni kauli ya Lissu kwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenye Mhe. Magare mahakamani Kisutu leo hii.

Daah Lissu anang'aa kama vile hakuwa Gerezani
 
Hii ni kauli ya Lissu kwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenye Mhe. Magare mahakamani Kisutu leo hii.

Ni maneno machache lakini yenye kuonyesha IQ kubwa ya Mhe. Lissu.

Mtu mwingine wangeweza tu kusalimiana na kuendelea na mazungumzo mengine.

Pia, kauli hii ya Lissu ni aibu na fedheha kwa serikali.
Wale waliosema tuungane chama kimoja na ACT na Chauma.

😀😀😀kumbe unaungana na wale wale.
 
Lissu ni shujaa sana
1747656864849.png
 
Back
Top Bottom