Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Naam hilo ndilo jina langu haswa😎Magonjwa Mtambuka
Naam hilo ndilo jina langu haswa😎Magonjwa Mtambuka
Lissu ni ShujaaHii ni kauli ya Lissu kwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya, Mhe. David Maraga mahakamani Kisutu leo hii.
Ni maneno machache lakini yenye kuonyesha IQ kubwa ya Mhe. Lissu.
Mtu mwingine wangeweza tu kusalimiana na kuendelea na mazungumzo mengine.
Pia, kauli hii ya Lissu ni aibu na fedheha kwa serikali.
Harufu imefika mpaka Bunge la Ulaya wewe umelala fofoMbona hajakinukisha mpaka sasa anasubiri nini?😁
Kwani ni mara ya kwanza?Harufu imefika mpaka Bunge la Ulaya wewe umelala fofo
Huyo polisi anavyomwangalia sasa.
Wewe bwege kumbe unajua harufu zingine zilizowahi kunukishwa!!Kwani ni mara ya kwanza?
Hata wewe boya tu.…Kweli wewe boya
Hovyooo. Unapigana na mtu amefungw kamba kisha unampiga ngumi nawe unashangilia kama punguani?Mbona hajakinukisha mpaka sasa anasubiri nini?😁
Sasa si alijifanya eti atakinukisha au hukumsikia?Hovyooo. Unapigana na mtu amefungw kamba kisha unampiga ngumi nawe unashangilia kama punguani?
Hujui maana ya kukinukisha umebaki unabinua kiuno tu kama mwanaidi chizi
Hujui hata kiswahili cha kawaida tu. Makubwa utayajua wewe? Hata dunia tu kujua kwamba TANZANIA Kuna watu wapuuzi kama wewe kupitia kwenye kesi yaa lisu tayar ni kukinukisha tayar.Sasa si alijifanya eti atakinukisha au hukumsikiah
Akinukishe sasa😂Hujui hata kiswahili cha kawaida tu. Makubwa utayajua wewe? Hata dunia tu kujua kwamba TANZANIA Kuna watu wapuuzi kama wewe kupitia kwenye kesi yaa lisu tayar ni kukinukisha tayar.
Kila siku nakwambia wizi wa mitihani ni jambo baya sana
Hujui maana ya kukinukisha wewe acha kusumbua watu jifunze kwanza lugha.Akinukishe sasa😂
Wewe huoni kuwa tayari "kinanuka"?Mbona hajakinukisha mpaka sasa anasubiri nini?😁
Nadhani umemkomesha huyo; pamoja na kwamba yeye ni mgonjwa wa akili.Hujui maana ya kukinukisha wewe acha kusumbua watu jifunze kwanza lugha.
Neno moja laweza kuwa na tafsiri zaidi ya 5.
Hata dunia kujua tu kwamba Tanzania kuna watu wajinga kama ulivyo wewe yaweza kuwa maana yake wewe unataka maana uliyokaririshwa wakati unaiba mitihani isimame kuwa tafsiri?
Hovyo?
Wewe uliyepungukiwa akili unaona tayari kimenuka ha ha ha upuuzi mtupu😎Wewe huoni kuwa tayari "kinanuka"?
Au kwa vile umepungukiwa akili ya kujuwa "kunuka" kukoje?
Huyu afande wa kulia naona hata yeye anamshangaa shujaa
Ungekuwa kijana ningesema acha utoto. Wewe ni mzee, lakini bado una akili za kitoto. Huo ni ugonjwa wa akili.Wewe uliyepungukiwa akili unaona tayari kimenuka ha ha ha upuuzi mtupu😎
Kwani sina uhuru wa kutokukubalina na wewe, mbona unaniletea mambo ya kitoto?Ungekuwa kijana ningesema acha utoto. Wewe ni mzee, lakini bado una akili za kitoto. Huo ni ugonjwa wa akili.
Kwa sababu siku zote unayo mambo ya kitoto tokea uingie JF. Hiyo ni sifa yako, huwezi kuivua.Kwani sina uhuru wa kutokukubalina na wewe, mbona unaniletea mambo ya kitoto?