stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
njia za kushika dola ni nyingi, sio lazima fujo kwann msiandae vijana
njia za kushika dola ni nyingi, sio lazima fujo kwann msiandae vijana
Kweli lissu ni mpango wa mungu 💪
Bila Reforms ili Tume iwe HURU utashikaje Dola??!!njia za kushika dola ni nyingi, sio lazima fujo kwann msiandae vijana
Sasa kama yupo likizo analalamika nini?... yaani ni kama yupo likizo tu.
Huyo muuliza swali akisikia "ATAKINUKISHA" anadhani atasikia harufu ya majani yanaungua.Huoni serikali inavyohangaika?
andaeni vijana wapate ushawishi kutoka kwenye jamii wao ndo watamotivate vijana wenzao njia ya kwenda ila izi siasa mnazofanya saahv hazina ushawishi unakuta ata maandamano mtu anaona woi ya nnBila Reforms ili Tume iwe HURU utashikaje Dola??!!
Mikutano ya CHADEMA huioni ilivyokuwa na ushawishi?!andaeni vijana wapate ushawishi kutoka kwenye jamii wao ndo watamotivate vijana wenzao njia ya kwenda ila izi siasa mnazofanya saahv hazina ushawishi unakuta ata maandamano mtu anaona woi ya nn
wale sio wapiga kura ndo shida, alafu mnachoongea kwenye majukwaaMikutano ya CHADEMA huioni ilivyokuwa na ushawishi?!
Mpaka ufumuliwe rinda ndo usikie hiyo harufu au tukupeke getezani akakufumue usikie hiyo arufuMbona hajakinukisha mpaka sasa anasubiri nini?[emoji16]
Kama si wapiga-kura,kaa na walimu/wasimamizi wa chaguzi ili wakupe ukweli wao.wale sio wapiga kura ndo shida, alafu mnachoongea kwenye majukwaa
ni harakati badala ya matatizo ya nchi na jinsi nyie kama nyie
mtayatatua
Wewe unapngea porojo.wale sio wapiga kura ndo shida, alafu mnachoongea kwenye majukwaa
ni harakati badala ya matatizo ya nchi na jinsi nyie kama nyie
mtayatatua
Achana nae shoga huyoKama kusoma hujui, hata picha huoni?
Nimeona anang'aa kuliko sisi tuko uraiani. Na ana furaha sio ya kuigiza realSasa unafikiri hata huko gerezani anatretiwa kama paka wengine huyo ni first class citizen yaani ni kama yupo likizo tu.
Magonjwa MtambukaMbona hajakinukisha mpaka sasa anasubiri nini?😁
Ujinga ni mzigo kwa kichwa chakoMbona hajakinukisha mpaka sasa anasubiri nini?😁
Hii picha ni ushahidi tosha wa nchi yetu ya Tanganyika kupata Mkombozi wa kweli.
Hata chako vile vile.Ujinga ni mzigo kwa kichwa chako
Subirini siku ya uchaguziMbona hajakinukisha mpaka sasa anasubiri nini?😁