Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Daah Lissu anang'aa kama vile hakuwa GerezaniHii ni kauli ya Lissu kwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenye Mhe. Magare mahakamani Kisutu leo hii.
Ni maneno machache lakini yenye kuonyesha IQ kubwa ya Mhe. Lissu.
Mtu mwingine wangeweza tu kusalimiana na kuendelea na mazungumzo mengine.
Pia, kauli hii ya Lissu ni aibu na fedheha kwa serikali.
Wale waliosema tuungane chama kimoja na ACT na Chauma.Hii ni kauli ya Lissu kwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenye Mhe. Magare mahakamani Kisutu leo hii.
Ni maneno machache lakini yenye kuonyesha IQ kubwa ya Mhe. Lissu.
Mtu mwingine wangeweza tu kusalimiana na kuendelea na mazungumzo mengine.
Pia, kauli hii ya Lissu ni aibu na fedheha kwa serikali.
Akili kubwa ile.Lissu ni shujaa sana
Huoni serikali inavyohangaika?Mbona hajakinukisha mpaka sasa?😁
Inahangaikaje?Huoni serikali inavyohangaika?
Kama kusoma hujui, hata picha huoni?Inahangaikaje?
jamaa kazingua, watu wanapigana chama kipate wawakilishi bungeni yeye anasema hakuna uchaguziAkili kubwa ile.
Lissu ni shujaa sana
Nimemuona rais anashughuli ikulu na waziri mkuu yuko Mwanza anaendelea na majukumu yake kama kawaida . Sasa serikali gani unayoiongelea?Kama kusoma hujui, hata picha huoni?
Mi naona Wakenya ndiyo wanahangaika na Lissu!!Huoni serikali inavyohangaika?
jamaa kazingua, watu wanapigana chama kipate wawakilishi bungeni yeye anasema hakuna uchaguzi
Mpaka mnazuia watu airport na kutaka kukamata watu mahotelini usiku wa manage? Hii ni akili au ........? Huku si kuhangaika?Mi naona Wakenya ndiyo wanahangaika na Lissu!!
Sasa unafikiri hata huko gerezani anatretiwa kama paka wengine huyo ni first class citizen yaani ni kama yupo likizo tu.Daah Lissu anang'aa kama vile hakuwa Gerezani