I am sorry on behalf of my country- Tundu Lissu

Lissu ni Shujaa
 
Mbona hajakinukisha mpaka sasa anasubiri nini?😁
Hovyooo. Unapigana na mtu amefungw kamba kisha unampiga ngumi nawe unashangilia kama punguani?
Hujui maana ya kukinukisha umebaki unabinua kiuno tu kama mwanaidi chizi
 
Sasa si alijifanya eti atakinukisha au hukumsikiah
Hujui hata kiswahili cha kawaida tu. Makubwa utayajua wewe? Hata dunia tu kujua kwamba TANZANIA Kuna watu wapuuzi kama wewe kupitia kwenye kesi yaa lisu tayar ni kukinukisha tayar.
Kila siku nakwambia wizi wa mitihani ni jambo baya sana
 
Akinukishe sasa😂
Hujui maana ya kukinukisha wewe acha kusumbua watu jifunze kwanza lugha.
Neno moja laweza kuwa na tafsiri zaidi ya 5.
Hata dunia kujua tu kwamba Tanzania kuna watu wajinga kama ulivyo wewe yaweza kuwa maana yake wewe unataka maana uliyokaririshwa wakati unaiba mitihani isimame kuwa tafsiri?
Hovyo?
 
Nadhani umemkomesha huyo; pamoja na kwamba yeye ni mgonjwa wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…