I and the FATHER are one!

I and the FATHER are one!

Anafikiri wote hatujatoka Huko..

Hii ni sawa na Mtoto wKo mwenyewe anapobalehe anaanza kukudanganya Vitu anahisi Wewe Hukupitia Balekhe..
Na ukiona hivyo unakuwa unamkubalia Ili aendelee kukuona Hujui ili awe huru 😅😅
Hahaha , mimi toka nina miaka mi 5 uzuri mmoja Biblia niliimeza kichwani yote😂
 
Anafikiri wote hatujatoka Huko..

Hii ni sawa na Mtoto wKo mwenyewe anapobalehe anaanza kukudanganya Vitu anahisi Wewe Hukupitia Balekhe..
Na ukiona hivyo unakuwa unamkubalia Ili aendelee kukuona Hujui ili awe huru 😅😅
Huo ujuaji ndio ulimtoa Lucifer Mbinguni akatupwa chini kabisa gizani.

Elimu atupayo Roho mtakatifu yatosha kabisa.
 
Huo ujuaji ndio ulimtoa Lucifer Mbinguni akatupwa chini kabisa gizani.

Elimu atupayo Roho mtakatifu yatosha kabisa.
Hakuna Mtu aliyekuwapo wakati wowote akiitwa lucifer..
Jina la lucifer limeanza kutumika kwenye Bl8blia ya Vulgate Karne ya 10 huko ila hapo kabla hakukuwepo ba Jina Hilo...

Kingine Roho mtakatifu hatoi elimu yoyote zaidi ya Kukufundisha yaliyopo.
 
Hapa kwenye kuuokoa ulimwengu inanichanganya,yeye ni muweza wa yote inakuwaje aumbe watu watu waliomgeuka?
Hawa watu wana uwezo mkubwa kuliko yeye aliyewaumba?
Soma Isaya 54:16

Nimemwumba mharibifu aharibu.

Yote yapo Kwa mapenzi yake, usimchunguze Mungu,

Muulize akufafanulie usoyajua.
 
Hakuna Mtu aliyekuwapo wakati wowote akiitwa lucifer..
Jina la lucifer limeanza kutumika kwenye Bl8blia ya Vulgate Karne ya 10 huko ila hapo kabla hakukuwepo ba Jina Hilo...

Kingine Roho mtakatifu hatoi elimu yoyote zaidi ya Kukufundisha yaliyopo.
Mimi natamani umuambie hata huyo roho mtakatifu pia hayupo, ili aanze kujitafuta yeye kama yeye 😂😂🤔
 
Mungu na shetani hizo ni dhana tu hakuna kitu kama hicho🤔
Bible imetwambia asemaye hakuna Mungu ni mpumbavu.

Sasa muda wa kuhangaika na ninyi Sina.

Wapo wanaamini uwepo wa Mungu,hawajamwamini, hao ni kondoo Si mbuzi,

Hao ndio nitahangaika nao.
 
Wewe huamini uwepo wa Mungu,
Level Yako ni duni sana.

Mungu akusaidie.
Unajua mkuu mimi nakiona hicho kichaa chako, kama nivyoona tufe la dunia 😅😅😅 hapo tumetoka sasa
Screenshot_2024-11-19_172440.jpg
nnje ya mada kama unavyotaka😂😂😂😂
 
Hakuna Mtu aliyekuwapo wakati wowote akiitwa lucifer..
Jina la lucifer limeanza kutumika kwenye Bl8blia ya Vulgate Karne ya 10 huko ila hapo kabla hakukuwepo ba Jina Hilo...

Kingine Roho mtakatifu hatoi elimu yoyote zaidi ya Kukufundisha yaliyopo.
Lucifer ni Malaika Si mtu.

Na Elimu atoayo Roho mtakatifu,Si iliyopo pekee,

Hata chakula Gani Nile Leo au nini nivae, niende wapi na nisiende wapi Leo au kesho ajua Yeye na kuniambia.

Ajua yote yaliyopita ,yaliyopo na yajayo.
 
Wewe kama unaamini huyo ndio Mungu wako poa tu..., kwanini ulazimishe na wengine wamuamini ? Nadhani huko ni kukosa ustaarabu.., After all ni Imani wewe uaminiye huyo hauna tofauti na anayeamini Jiwe au Mzimu nyote ni Imani zenu...
 
Wapi nimemlazimisha mtu?
 
Huo ujuaji ndio ulimtoa Lucifer Mbinguni akatupwa chini kabisa gizani.

Elimu atupayo Roho mtakatifu yatosha kabisa.
Sasa unajuaje hio elimu aliyekupa wewe huyo roho mtakatifu sio aliyempa na huyu hadi akapata upembuzi wa kupembua anavyopembua ? Kwanini Elimu hii wapewe minority ?
 
Mungu alijiteua mwenyewe aje aokoe wadamu,akiwa anasali bustann akajiomba mwenyewe ajiepushe na kikombe alichojiwekea mwenyewe,msalaban akajililia mwenyewe kwamba amejiacha na baadae akajikabidh roho yake mwenyewe kwenye mikono yake mwenyewe

Hii kweli noma 😅😅😅
 
Sasa unajuaje hio elimu aliyekupa wewe huyo roho mtakatifu sio aliyempa na huyu hadi akapata upembuzi wa kupembua anavyopembua ? Kwanini Elimu hii wapewe minority ?
Mungu ni MMOJA,

Na Elimu iliyo Bora kuliko zote, inatolewa na Roho wake mtakatifu.

Sasa kusema hivyo, sijamlazimisha mtu kuamini.

Kama unaamini Babu Yako au Mizimu na mashetani ya kwenu mnayoyapa Damu huko makaburini kwamba ndiyo miungu, hiyo ni habari ingine.
 
Yesu akamjibu shetani, imeandikwa " Usimjaribu BWANA Mungu wako,

Sasa shetani hakubisha Yesu alipomjibu kuwa Mungu Usimjaribu.

Kisha shetani akamwacha, Malaika wakashuka kumhudumumia.

Shetani anajua Yesu ni Mwana wa Mungu/ Mungu.

Waulize hata Waganga wako wa kienyeji wapiga ramli kuwa Yesu ni nani, watakwambia.
You nailed it.
 
Back
Top Bottom