min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hahaha , mimi toka nina miaka mi 5 uzuri mmoja Biblia niliimeza kichwani yote😂Anafikiri wote hatujatoka Huko..
Hii ni sawa na Mtoto wKo mwenyewe anapobalehe anaanza kukudanganya Vitu anahisi Wewe Hukupitia Balekhe..
Na ukiona hivyo unakuwa unamkubalia Ili aendelee kukuona Hujui ili awe huru 😅😅