I hate first days

Hii track puffy aliinyonga kisawa sawa

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mi nikiwa bar huwa muongeaji sana ila nikiwa sober napenda kuwa mwenyewe. My mind travels a thousands miles away.
Una aibu sana au inferiority complex...na hiyo huwa inaondolewa na pombe. Madhara yake siku unaweza kunywa kupitiliza ukafanya vituko na kesho yake ukajuta. Au unaringa unajiona una pesa au akili nyingi.
 
Una aibu sana au inferiority complex...na hiyo huwa inaondolewa na pombe. Madhara yake siku unaweza kunywa kupitiliza ukafanya vituko na kesho yake ukajuta. Au unaringa unajiona una pesa au akili nyingi.
Inferiority complex naogopa nini kwa mfano?? Najua kukontro kichwa changu gauge ikisoma nasepa
 
Tupo Pa1 hapa.
 
Kwani kuna maisha matamu km kuwa lonely.? Naenjoy kwa kweli kuwa alone ev time en where.
 
You are an introvert. You enjoy your "me" time. Miaka ya nyuma nilikuwa na tabia kama hiyo ilichangiwa kwa kiasi kikubwa na malezi. Ilikuweza kuchangamka ilinibidi ninywe pombe ila nikajakugundua pombe hainipi uhalisia wa tabia yangu.

Hivyo basi, taratibu nikaanza kujifunza kujichanganya na watu, na kuboresha my esteem. Kadiri siku zilivyosogea na kwa kujifanyia self-analysis I transitioned to being open to people.

DOWNSIDE OF INTROVERT

1. Jamii inaweza kukuona kama uncaring "mashauzi"
2. Missing out on opportunities
3. Failing to learn from people
4. Unaweza kukosa pisi kali kisa umejitenga
5. Stress level zinakuwa juu.. You might even commit suicide kwa kusoa wa kuongea nae.

BENEFITS
1. You get enough time to concentrate on important matters of life and being perfect at it

2. Most times, introverts are geniuses
 
Sasa unachart na kina nani mkuu? Kwasababu charting ili zinoge ni vizuri mkajuana hata utani wa hapa na pale ni rahisi. Tukionana huongei kwenye simu ndo unachart kama nini sa si utaonekana mnafki kwa wana.
Amefanana na dada mmoja tulijuliana fb, kwenye chating na video call atakuonyesha kila utakacho adi utupu, siku tumeonana live ana aibu iliyopitiliza, ukimwangalia anaangalia kwingine au kama ana mtandio anajifunika usoni akiacha kanafasi kidogo ka kuchungulia, hata siku tulizoenda tukioni sijawahi kuangaliana nae live zaidi ya sekunde 3. Sielewi hao viumbe dizaini hii nini kinawapata
 
sikuamini mkuu hebu nipe namba yake nimpigie nihakikishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…