Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #101
I love 'em girls, but I can't afford to buy 'em even underwear.
I'm block nigga with strong feeling...
Mimi ata status nlimuweka siku kanioa na nlieka bila caption ndani ya nusu nshatoa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
jikaze we mropoke tuuI love 'em girls, but I can't afford to buy 'em even underwear.
I'm block nigga with strong feeling...
umeamua kugonganisha bajaji,magari,treni,boda boda
π€£ π€£ π€£ π€£Hahaha wewe ni wakuwamba makofi [emoji23][emoji23]
ungemtaja tu maana kuna mijamaakama minne inajijua ndio yenyeweKwanini?
Unajua ukishafanya yako unajishtukia unaamua kumpost unahisi labda alishtuka upo sehemu flani[emoji23][emoji23][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
umeamua kugonganisha bajaji,magari,treni,boda boda
yani hujali madhara yatayotokea eeeh
ebitoke alichokifanya unakijua lakini?
shauri lako.....
Ina maana Hornet na mzigua wanachea wakina Mlela mko wengi
Usipaniki relax siko seriousπππHahaha hivi hayo maneno nyie mnayachukuliaga serious kiihvyo?[emoji15][emoji15]
Mimi hata kwa phone yangu akipiga picha nafuta ama nazieka kwa lock π π π πHalafu nilichogundua wanawake wanaopenda kuwataja au kuwapost sana watu wao hata kwa sisi wanaume...ndio mahodari wa kucheat,Unajua ukishafanya yako unajishtukia unaamua kumpost unahisi labda alishtuka upo sehemu flani[emoji23][emoji23]
Usipaniki relax siko serious[emoji16][emoji16][emoji16]
Nashangaa unaogopa[emoji23][emoji23][emoji23]dini inaruhusu bana hata wanne
Nashangaa unaogopa
[emoji13][emoji13][emoji13]
Jf leo imejaa ma love love kuna nini ati??