I need a friend to text me love me and share good things

Serious maana hizi ni fedhea sasa maana kama bipolar imepitilizaπŸ˜†πŸ˜‚
Hiyo bipolar msaidien kumpata mtaalamu !! watu wa design hii mtazichanga anaweza kuzitoa bank na kuzitia kibiriti note zote !! kuhandle hisia kwao ni ngumu sana !!
Hivi hapa watu wanazungumzia maua huyu pipi tamu kajaa nyembe 🀣🀣🀣 hawaamini kama wa wana shida
 
Yaani hili nalo tatizo.. wacha nimtafutie kwanza psychologist πŸ˜†
 
sasa najijibu mwenyewe umesikia mimi ni taaira kama ww? mimi nnazo timam zako zimepungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…