Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂
unaona mimi ni chizi mwenzio au sio? unapatikana wapi labda naweza kuwa msaada kwako, nitahakikisha unameza dawa zako za akili kwa wakatiNa wewe
😂😂😂😂 Da mau brand kubwa
Hakii mimi nimesalenda😂😂🙌Mi jeshi la mtu mmoja da mau mwenyewe anajua na niko hapa kutengua mabomu wanayomrushia 😂😂😂😂
Bora jf kuchangamkeMi jeshi la mtu mmoja da mau mwenyewe anajua na niko hapa kutengua mabomu wanayomrushia 😂😂😂😂
Atarudi huyu hawatoboi week na da mau
Hiyo bipolar msaidien kumpata mtaalamu !! watu wa design hii mtazichanga anaweza kuzitoa bank na kuzitia kibiriti note zote !! kuhandle hisia kwao ni ngumu sana !!Serious maana hizi ni fedhea sasa maana kama bipolar imepitiliza😆😂
aendelee tu kuniweka kwenye list lakini ukweli ataambiwanyie endeleeni kumchokoza 🤣🤣 yuko anahesabu maadui zake !!
Jirani tusaidiane kuitetea brand ya da mau 😂😂😂Hakii mimi nimesalenda😂😂🙌
Yaani hili nalo tatizo.. wacha nimtafutie kwanza psychologist 😆Hiyo bipolar msaidien kumpata mtaalamu !! watu wa design hii mtazichanga anaweza kuzitoa bank na kuzitia kibiriti note zote !! kuhandle hisia kwao ni ngumu sana !!
Hivi hapa watu wanazungumzia maua huyu pipi tamu kajaa nyembe 🤣🤣🤣 hawaamini kama wa wana shida
😂😂😂😂 Nimekatazwa kucheka ujueBora jf kuchangamke
Kulipia sana humu🤣🤣🤣
Hutoboi week tupo hapa 😅😅😅😅Shoga da mau anasema mi simpendi nawasapoti wanaomsema..!! Kwahiyo ss hivi nimeamua kuvaa mabomu niko upande wake 🤣🤣🤣🤣🤣
Huku sio ulaya therapy ni kwa nguvu unataka au hutaki !! hata viboko vinatumika kuweka watu sawa !!aendelee tu kuniweka kwenye list lakini ukweli ataambiwa
sasa najijibu mwenyewe umesikia mimi ni taaira kama ww? mimi nnazo timam zako zimepunguaUmewahi kuniona mahali unajazba sana shida nini ?? Halafu unaniombea njaa wah!mungu hanipi njaa atawapa maadui zangu njaa upo bibie uwaze kuwa mie sijui nyani ,nyuni hawayani shauri yako sikujui hujui yaanini nihangaike nawewe. Pambana na hali yako kwani wewe hujijibu mwenyewe shughulika na maisha yako.
Kila tukijaribu kuipandisha anaishusha tena kwa speed ya 5G😂😂😂.. Palipobaki apambane na hali yake, me nishanyoosha mikono juu🙌🙌Jirani tusaidiane kuitetea brand ya da mau 😂😂😂
Uzi ufungwe. Mmarekani kawahi.Here I am, karibu
Kama ulikuwa hujui una kipaji cha kuwa mc fanyia kazi hilo, hata Tayana-wog atanisapotMi jeshi la mtu mmoja da mau mwenyewe anajua na niko hapa kutengua mabomu wanayomrushia 😂😂😂😂
Mi ndo namjulia yule 😂😂😂😂Hutoboi week tupo hapa 😅😅😅😅