I think its my time to rest, I am nothing in this world

Inasikitisha.
Ila ndo hivyo tuko wa kila rangi humu
 
Mkuu,sasa baada ya huyo mpauko kujiua ni nani alipata hasara zaidi yake?
Hujui kua kujiua au kutishia kujiua ni kosa la jinai?

Kwanini asieleze tu shida yake bila kuingiza issue za kujiua?
Hakuna aliepata hasara,point yangu kua why wachangiaji wana entertain au ku influence mtu kuwa katika hali mbaya zaidi,kwani ukiamua kua positive au kunyamaza unapungukiwa Nini??
 
Mleta mada hajaeleza kinachomsibu,sasa wewe haya maelezo ya kubet umeyatoa wapi? kama wewe umewaza hivyo basi na wewe ukubali kuheshimu mawazo ya wengine walivyo waza wao.
 
Hili lina uhusiano gani na mada mkuu?
 
Mleta mada hajaeleza kinachomsibu,sasa wewe haya maelezo ya kubet umeyatoa wapi? kama wewe umewaza hivyo basi na wewe ukubali kuheshimu mawazo ya wengine walivyo waza wao.
Hajaelezea,muanze kumuita mwnzenu mbwa?bila kujua kinachmsibu
Na nimetoa somo Kwa huyo mtoto hapo anaeona simu ndo Kila kitu.
What if ana tatizo kubwa kwamba simu si kitu kwakee?
Umenielewa?
 
Kujiua sio shortcut,inawezekana umefika karibu kabisa na suluhisho lkn unataka kukata tamaa,ukijiua tambua kuwa una cha kujibu mbinguni kwanini umeondoa uhai ambao Mungu huuchukua only wakati wake utakapofika....
 
Tena sana! Saiv ndo naamka... Niko hapa sitting room kwa shemeji. Keko magurumbasi... Nna miaka 38

Una kingine mrembo?!😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…