I think its my time to rest, I am nothing in this world

Mkuu,
Pole sana kwa unayopitia, maisha yana ups na downs nyingi na changamoto ni sehemu ya maisha.

Labda useme nini hasa unapitia ili upate msaada hata wa kimawazo, watoto bado wadogo wanakuhitaji kuliko unavyodhani.
Muache afe unamuonea huruma kaweka Namba ya Muamala tuma million sasa hivi ili asife
 
Kuondoka duniani sio suruhisho, sana sana unawaachia watu maumivu walio hai (ndugu, jamaa, rafiki na familia).

Ni kweli kwamba maisha ni magumu na pia huwa tunapitia magumu kiasi kutaka ushauri. Lakini mwisho wa siku formula ni moja ni kujiwekea viwango vyako vya furaha na maisha pasipojilinganisha na mtu. Wakati mwingine maisha huwa sio magumu bali tunajilinganisha na wengine na kujiona kama tumefeli kumbe tupo "on track" ila waliokuzunguuka wapo hatua kadhaa mbele yetu kwa factor mbalimbali ikiwemo kuanza maisha kabla yetu. Pengine tungekuwa tumezunguukwa na watu wa level yetu au kutojilinganisha na wengine tungejikuta hatuna stress za maisha.

Vivyo hivyo hata kwenye issue ya furaha, amani ya moyo inaletwa na wewe, unaweza ukawa huna furaha na watu wakupiga nao story huna bado una nafasi ya kuwa na watu wapya ambao unaweza ukajichanganya nao, mfano Kwa sie wapenda mpira, unaweza ukawa unaenda kwenye vibanda umiza na ukitaka upate interaction ya haraka unapiga uzi wa timu yako lazima atajitokeza mtu tu kuanzisha maongezi based na timu yako unayoishabikia yaani iwe jokes au hata kupiga story mbili tatu kama timu yako imeshinda (sio lazima mpira namaanisha check hobby yako hata kama kucheza drafts au karata kwenye vijiwe jirani na maeneo unayopendelea)
 
Muache ajiue na kishajiua anaandike tena JF kwamba wana JF nimeshajiua
We mbwa unaniua mimi kwa kucheka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Na kuna mapunguani yanamchangia Hela Muda huu kwa kumrushia miamala ndio kumuonea huruma walipwe na Mungu leo Jumapili acha waliwe mpaka akili ziwakae sawa

Hii ni chai unazani kujiua ni kitu rahisi kama kunya tuliza futa hilo
 
Muacheni ajiue nyie Jamaa mboni mnamkwamisha malengo yake ya kujiua km hamtaki ajiue kila mmoja atume million
 
Hata mwanamke kamshinda ujasiri huyo boya mleta uzi 😂
 
Vigogo wapo tele humu, kutwa kupigana vijembe vya uchaguzi, mara CCM, mara Mbowe, Mara Chadema, Mara Lissu, Mara January, Mara Nape, Mara Makonda... Uchawa uchawa tu... Huku wamesunda mabilioni ya wizi na wamejificha nyuma ya anonymous ID's isipokuwa mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba Dorothy Gwajima na Pascal Mayalla labda hao ndo wanajulikana... Sasa hao wawasaidie hawa hata tupesa twa kufungulia magenge ipunguze hizi case za Kujiua hovyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…