Nipo aiseeeHivi upo Swahiba?
Mzima lakini kitambo sanaLugha ya watu hii Mkuu ngoja waje waturekebishe kama tumekosea. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaa. lol.Nipo aiseee
Nilikuwa nataka nikutafute nikupe kitengo kwenye kamati ya sherehe za ubingwa
Reception panakufaa zaidi
Mie Alhamdulillah!Mzima lakini kitambo sana
Watu si watakuwa wanajipigia tu sasa hiviHahaaaa. Leo hii ndio unasema hivyo Mtani wakati mwezi uliopita mlikuwa mnatutambia kwamba Ajib mnamchukua. 😀😀😀
Mazembe wamewazidi kete huko.
U naongea mambo ya kina nonda ya miaka iyo. Kati ya simba na yanga ni ipi imeuza wachezaji nje we mwenyewe umeona apo umetaja wawili umekauka ni kikushushia list ya simba si utakimbia weweMmepitia lini? Hamkuwagi kusema mmepitia kwa Mbwana Samatta wakati Samatta pale alinusa tu tena kwa "mkopo" baada ya Mo kuiuza Lyon kwahiyo hakuwa na budi kumtafutia Samatta timu ili kipaji chake kisikae hivi hivi! Lakini kwa wazee kama sisi, tunakumbuka kwa miongo ya karibuni ni Jangwani ndio imetoa wachezaji na kwenda kuwika nje kama ilivyo kwa Shaban Nonda na hivi sasa Simon Msuva anavyobamba huko Umangani! Boban kenda Sweden, kakosa bangi siku mbili tu, akaamua kurudi! Okwi nae kaenda SønderjyskE Fodbold, Denmark akaishia kusugua benchi tu hadi anarudi!
[emoji23][emoji23] sijafichwa aiseeeMie Alhamdulillah!
We ndio huonekani tatizo Swahiba sijui nani anakuficha?
Ooh! Haya karibu tena Swahiba. Tupo[emoji23][emoji23] sijafichwa aiseee
Nilikuwa sijaingia humu jf kitambo kidogo
Muhimu uhai ukijumlisha na ubingwa Mambo Ni fire
Tutanunua wengine Mtani.Watu si watakuwa wanajipigia tu sasa hivi
Maana kabakia fei toto peke yake
Yetu mmacho mtani msipokuwa makiniTutanunua wengine Mtani.
Tutanunua wengine Mtani.
Na wewe taja hao wa miaka hiyo! Btw, sio kutaja wachezaji bali kutaja wachezaji wanaofanya vizuri sana huko walikoenda!!U naongea mambo ya kina nonda ya miaka iyo. Kati ya simba na yanga ni ipi imeuza wachezaji nje we mwenyewe umeona apo umetaja wawili umekauka ni kikushushia list ya simba si utakimbia wewe
🤪 🤪 kwa hiyo Boban alikosa BANGI ULAYA! Akarudi kuitafuta LYON,Baada ya kuikosa Lyon sasa kaipata Yanga!Mmepitia lini? Hamkuwagi kusema mmepitia kwa Mbwana Samatta wakati Samatta pale alinusa tu tena kwa "mkopo" baada ya Mo kuiuza Lyon kwahiyo hakuwa na budi kumtafutia Samatta timu ili kipaji chake kisikae hivi hivi! Lakini kwa wazee kama sisi, tunakumbuka kwa miongo ya karibuni ni Jangwani ndio imetoa wachezaji na kwenda kuwika nje kama ilivyo kwa Shaban Nonda na hivi sasa Simon Msuva anavyobamba huko Umangani! Boban kenda Sweden, kakosa bangi siku mbili tu, akaamua kurudi! Okwi nae kaenda SønderjyskE Fodbold, Denmark akaishia kusugua benchi tu hadi anarudi!
We unafikiri watford kucheza fainali sio mafanikio kwake?... Hata Lipuli kucheza fainali FA ni mafanikio.kacheza ama katia aibu, ana tofauti gani na watford fainali kupigwa 6-0 (kwa akili zako wangeshangilia kucheza fainal) wakati ni aibu tupu
Kweli kabisa... Kama zahera anahusika ndio sawa kabisa.Apo nadhani Zahera mnamuonea maana hausiki na lolote hapo
Zahera kaja mwaka Jana kamkuta Ajibu mchezaji wa Yanga aliebakisha mwaka mmoja na amemtumia Hadi Sasa msimu unaisha, Apo anahusika vipi?
Kumbuka Yanga imejiendesha msimu mzima Bila viongozi Hadi juzi Uchaguzi ulipofanyika na hakuna mchezaji alieongezewa mkataba Wala alieachwa unamlaumu vipi hapo?
Acha kijana akale maisha..Yeye kama kocha anaejua wachezaji wake wote kuanzia viwango mpaka tabia, alipaswa asimame kidete kuhakikisha ajibu anaongezewa mkataba,, ila yeye ndo alkua wa kwanza kumuweka benchi bila hata sababu, yote hio kutaka kuonesha mashabiki na viongoz kuwa ajib si lolote na hata bila yeye yanga inaweza
Mwisho wa siku kampeleka kwao,,, acha achukue na 10% ya uwakala
Tusubiri tuone Mtani japo wanasemaga yana mwisho hayo.Yetu mmacho mtani msipokuwa makini
Hili soka la Tanzania tutalitawala kama bayarn anavyolitawala soka la ujerumani
Hebu muacheni mzee wa watu bana Mtani.Naona Dalali Zahera anaendelea kufanya yake.