Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

Kumwita dictecta uchwara ni kama una hasira nae, wala yeye haangaiki kutuma watu kumsifia bali wanaohangaika ni watu wa mitandaoni ktk kutengeneza habari zake ili kuvuta hisia za watu wengine lkn kwa lengo la kujitengenezea pesa kupitia ads, n.k

Sasa hapo uchwara ni hao wanaosoma habari kisha wakaziamini na wao kuanza kuzisambaza wakidhani ni za kweli.
 
Huyu jamaa wanamkuza sana kupindukia kuliko uhalisia ulivyo.
 
Huyu jamaa wanamkuza sana kupindukia kuliko uhalisia uli
Lakini kuhusu huyo Traore ni Waafrika wengi sana wanaoamini mambo ya uongo kuhusu yeye!

Akili za Waafrika ni duni sana aisee.
Wanamuona kama Thomas Sankara wa pili...

T14 Armata. Yoda
 
Kaka

Acha watu wabaki na ujinga wao…. Usitukate stimu

90% ya issue za huyo jamaa ni uzushi
 
Mbona ubaumia kwa mshikaji, be lroud of your african brotherhood. Na hsitake kutujaza hasira zako dhidi ya watu wengine. Jipambanie maisha ni mafupi
Huyu Yuko USA so yeye anajiona nusu ama 25% anao uzungu Ila waafrika ni wajinga Walioko barani afrika.
Yaani mwafrika akiwa nchi za wazungu kwake ni mafanikio na anawadharau Walioko afrika
 
Huyu Yuko USA so yeye anajiona nusu ama 25% anao uzungu Ila waafrika ni wajinga Walioko barani afrika.
Yaani mwafrika akiwa nchi za wazungu kwake ni mafanikio na anawadharau Walioko afrika
Hata mimi nimeobserve hii kitu kwa mtoa mada. Halafu ana zile kauli za "miafrika ni mipumbavu sana".
 
Kama tunaongelea Ujinga / lack of Knowledge hii ni worldwide na ndio inatumika zaidi kwenye Propaganda even USA is prone to it..., and now more than ever nadhani US Public is up there with the rest
  • 7% of Americans think chocolate milk comes from cows
  • A quarter of Americans believe God has a role to play in who wins the Super Bowl
  • 12 million Americans believe lizard people secretly run the US
  • A bunch of Americans thinks HTML is an STD
  • As many Americans believe in Bigfoot as the Big Bang Theory
  • Almost 50% of Americans believe major news outlets make stuff up about Donald Trump
  • A significant proportion of Americans believe dinosaurs and humans coexisted
  • Half of Americans believe Global Warming will harm America, but not them personally
  • Barely anyone in America knows anything about the Constitution
 
Mkuu Nyani Ngabu heshima kwako. Binafsi sijawahi kuzisikiliza videos zake wala kutazama maandamano ya kumuunga mkono or kumpinga INGAWA nimekua shabiki wake kwa muda kidogo since kaingia madarakani, nimemsoma kwa mara ya kwanza alivokwenda Russia nadhani mwaka 2022 kuhusu namna yetu Waafrica tunavyo fikiria, nimemsoma pia the way anavyo fanya baadhi ya mambo nchini mwake, some of them yanahitaji kidogo kuyafikiri kama kweli yanatendeka nchini mwake kabla huja ya amini though some unaweza kua convinced kuyaamini, now bila hata kuyataja, labda tujiulize kama tunaelewa nini anacho kifanya Ufaransa kwa nchi alizo zitawala, kama tunayaelewa hayo mambo France anacho kifanya kwa hizo French speaking countries then tujiulize, ni SAHIHI kuendelea kuishi hivo? Kama tunadhani ni sahihi, then ukweli sisi black people tungerudisha tu utawala wa Kizungu everywhere in Africa and also tuwalaumu sana wapigania uhuru because they did it for nothing.
Kama hatujui, basi better tujielimishe kwanza kuhusu matendo ya Ufaransa kwa nchi alizo zitawala then ndio tunaweza kua kwenye position nzuri ya either kumlaumu Traore au kumpongeza.
Kajiridhishe pia, kwanini Rwanda waliamua hata kuachana kabisa na lugha ya Kifaransa nchini mwao?
 
Huyo ni dikteta aliyeingia madarakani kimabavu
Hivi viongozi wa Tanzania tunaweza kusema kabisa kutoka moyoni kwamba wameingia madarakani kidemokrasia? Tofauti yetu na China ni IPI? China, kile chama chao cha CCP kikisema, "huyu ndio rais wa China" imeisha hiyo, hakuna KURA wala nini? Je bongo, kamati kuu ya ccm ikisema, "huyu ndio mgombea wetu" sisi kama wananchi role yetu hua ni IPI?
 
Role ya raia huwa ni kutekeleza haki yao ya kumpigia kura.
 
Punguza Sukari, kula vizuri,fanya mazoezi , kunywa maji mengi na usisahau mazoezi.
Habari feki mitandaoni ni nyingi ni swala tu la wewe kuchakata kipi ni safi na kipi ni mtori.
Nb. Tofauti na hapo utapandisha Suvari na presha Bure. Ufe kisa Traore uncle familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…