Ibrahim Traore : Umeme bure Maji bure kwa Wazee Burkina Faso Hakuna Kulipa

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
26,000
Reaction score
25,342
Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata

Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara

Mungu ambariki huyu KIJANA !!!

Earthmover Kasumbalesa
 
Duuuh
 
Hawa ndo vijana wenye akili wa huku ni sawa na mako busy kutafuta political mileage wengine ni kupenda kuitwa chawa.
 
Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata

Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara

Mungu ambariki huyu KIJANA !!!

Earthmover Kasumbalesa
Hakuna cha bure duniani, hata ARV zinagawiwa bure ila kuna watu wanalipia.
 
Back
Top Bottom