mixx
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,371
- 8,376
FixedNo Reform No Election!
FixedNo Reform No Election!
Umeshindwa kuandika haya maneno Google search...Burkina Faso free electricity elders!!!muwe mnaweka na vyanzo vya habari
malizia neno atokeCC: Samia
Naunga mkono hoja!Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata
Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara
Mungu ambariki huyu KIJANA !!!
Earthmover Kasumbalesa
Naunga mkono hoja....aanze na KIKOKOTOO!!!!Tumkodishe Tanganyika huyu mwamba jamani
maCCM yakisikia hii habari yatasema ni uongo!!
Kazi kweli kweli na zikisomwa kila mwaka hawajali pesa inaendelea kufujwa zaidina kuzisoma hatuwez hadi tutafuniwe
Kabisa Mkuu kuna Majitu Yamesha nuna kuskia hii HabariJamaa akae kwa password, Africa kumejaa washenzi na wezi..
Awe makini, si rahisi, yupo vitani.. kongole kwake.
Sisi wenye kila kitu umeme juu, gas, bandari nk tumegawa, viongozi wanalindana, chawa maisha magumu lakini ndiyo hivyo,Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata
Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara
Mungu ambariki huyu KIJANA !!!
Earthmover Kasumbalesa
Watu gani hao wanaolipia?Hakuna cha bure duniani, hata ARV zinagawiwa bure ila kuna watu wanalipia.
Muamar Gadafi mbona aliweza, tusitishane mkuu, huyo hajasema bure kwa kila mtu bali baadhi tu.Umezoea vya bure siyo? Huyo ni laghai subiri baada ya muda maumivu yatakayowakuta hao wananchi wake. Wanajeshi siyo wa kuwaamini. Kanuni ya dunia hairuhusu mtu kuishi bure. Tumia akili kufikiri siyo kila ujinga ni wa kushabikia. Marekani ashindwe kupeleka huduma bure, eti jinga moja tu maskini, asiye ht na elimu inayoeleweka atoe huduma bure? Tumia akili badala ya makalio
Kabisa MkuuSisi wenye kila kitu umeme juu, gas, bandari nk tumegawa, viongozi wanalindana, chawa maisha magumu lakini ndiyo hivyo,
Tuanze kuprint T-shirt "TRAORE MITANO TENA"Tumkodishe Tanganyika huyu mwamba jamani
Kwa uchumi wa Burkina Faso, hicho ni kiinimacho cha muda tuAnaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata
Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara
Mungu ambariki huyu KIJANA !!!
Earthmover Kasumbalesa
100%Tuanze kuprint T-shirt "TRAORE MITANO TENA"
Teh teh unahanya ...Kimbunga kinakujaKwa uchumi wa Burkina Faso, hicho ni kiinimacho cha muda tu
Na ninyi si mlipie na kugharamia hayo maji na umeme muwape bure wananchi wenu.Hakuna cha bure duniani, hata ARV zinagawiwa bure ila kuna watu wanalipia.