Ibrahim Traore : Umeme bure Maji bure kwa Wazee Burkina Faso Hakuna Kulipa

Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata

Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara

Mungu ambariki huyu KIJANA !!!

Earthmover Kasumbalesa
Umezoea vya bure siyo? Huyo ni laghai subiri baada ya muda maumivu yatakayowakuta hao wananchi wake. Wanajeshi siyo wa kuwaamini. Kanuni ya dunia hairuhusu mtu kuishi bure. Tumia akili kufikiri siyo kila ujinga ni wa kushabikia. Marekani ashindwe kupeleka huduma bure, eti jinga moja tu maskini, asiye ht na elimu inayoeleweka atoe huduma bure? Tumia akili badala ya makalio
 
Naona sasa sifa kwa huyo dogo zimekuwa kama zile nukuu feki za Mugabe zilizokuwa zinasambaa mitandaoni!

Next tutasikia Ibrahim Traore kaamuru kila kitu kiwe bure huko Burkina Faso.

Ukitaka mbususu, bure. Ukitaka kumiliki nyumba, bure. Ukitaka kusafiri, bure. Ukitaka bia, bure.

Huyo ndo Traore bana.
 
Ni kupunguza Matumizi tu .....INAWEZEKANA

Fyeka mishahara ya wabunge

Fyeka MAVIETEEE

Fyeka MATAMASHA

Fyeka Safari za nje

Fyekaa fyeeekaa fyeeeka!!!
Na uzuri mmoja Mwamba mmoja katika hili Taifa aliwahi kuonyesha kwamba inawezekana.
 
Umezoea vya bure siyo? Huyo ni laghai subiri baada ya muda maumivu yatakayowakuta hao wananchi wake. Wanajeshi siyo wa kuwaamini. Kanuni ya dunia hairuhusu mtu kuishi bure. Tumia akili kufikiri siyo kila ujinga ni wa kushabikia. Marekani ashindwe kupeleka huduma bure, eti jinga moja tu maskini, asiye ht na elimu inayoeleweka atoe huduma bure? Tumia akili badala ya makalio
Mbogamboga fc

Mimi nalipa kodi hiyo inawezekana kabisa hapa Tanzania....fyeka mishahara ya wabunge ....fyeka Mavieeteeh fyeeka Matamasha...
 
Huku Tanzania service line tunalipia wakati ni mali ya tanesco!si wizi huo?
 
Umezoea vya bure siyo? Huyo ni laghai subiri baada ya muda maumivu yatakayowakuta hao wananchi wake. Wanajeshi siyo wa kuwaamini. Kanuni ya dunia hairuhusu mtu kuishi bure. Tumia akili kufikiri siyo kila ujinga ni wa kushabikia. Marekani ashindwe kupeleka huduma bure, eti jinga moja tu maskini, asiye ht na elimu inayoeleweka atoe huduma bure? Tumia akili badala ya makalio
Mkuu ukosahih lakin hapo kazungumzia kundi flan la watu.
Halaf unataka kusema huduma bure kwa wazee hakuna nchi zinazofanya hivo?
 
Magulification is alive today.

R.I.P Jiwe

Magulification must go on.

Waafrika wenzangu huyu Traore akimaliza miaka yake mitano huko Burkina, tufanye kila tuliwezalo, tumlete huku kwetu na tuumpe uraia wa heshima, aoe mtanzania-kwa heshima🔥😁 halafu tumchague awe Raisi wetu, angalau kwa muhula mmoja tu.

Wazungu(eti ma expert) wame tucheleweshea sana maendeleo wakati expert wetu yupo pale🙌🏾
 
🤣🤣 Mitano tena kwa huyu Mjeda akimaliza huko kwao
 
...anafanya kazi nzuri sana

...na kwa hilo tunaanza kuandaa Katiba ya Waafrika wote.

...Akishamaliza muhula wake wa kuiongoza Tanzania, asimikwe awe Raisi wa Afrika nzima.

...ni ndoto inayoweza kufikiwa🔥💯🙏🏿
 
Back
Top Bottom