Ibrahim Traore : Umeme bure Maji bure kwa Wazee Burkina Faso Hakuna Kulipa

Ibrahim Traore : Umeme bure Maji bure kwa Wazee Burkina Faso Hakuna Kulipa

Umezoea vya bure siyo? Huyo ni laghai subiri baada ya muda maumivu yatakayowakuta hao wananchi wake. Wanajeshi siyo wa kuwaamini. Kanuni ya dunia hairuhusu mtu kuishi bure. Tumia akili kufikiri siyo kila ujinga ni wa kushabikia. Marekani ashindwe kupeleka huduma bure, eti jinga moja tu maskini, asiye ht na elimu inayoeleweka atoe huduma bure? Tumia akili badala ya makalio
Marekani takataka gani broo. Mbona Libya aliweza sio maji tu mpaka mafuta na nyumba pia
 
Hivi na sisi haiwezekani akatokea mjeda mmoja akawa Traole wetu kweli??

Au kama inashindikana basi tupate tu hata kama Jerry Rawlings, achukue nchi aseti mifumo na katiba sawa alafu arudishe kwa raia, ili wananchi tuwe na nguvu ya kuchagua viongozi.
 
Hivi na sisi haiwezekani akatokea mjeda mmoja akawa Traole wetu kweli??

Au kama inashindikana basi tupate tu hata kama Jerry Rawlings, achukue nchi aseti mifumo na katiba sawa alafu arudishe kwa raia, ili wananchi tuwe na nguvu ya kuchagua viongozi.
😃
 
Binafsi siungi mkono huduma bure kwa nchi zetu za kiafrika.

Kabla ya kufika huko Kuna mambo mengi yanatakiwa yaboreshwe kwanza.
 
Traore is overrated...!

Ni suala la muda tu, saiz ni mapema mno kujua ubora wa uongozi wake..!
 
Mimi najiulizaga huyu dogo captain aliwezaje kupindua nchi wakati ma general wapo na usalama wa taifa wapo? Yan atoke yeye rank ya chini akakalie kiti ambacho mkuu wa majeshi naamin si kama hakua anakitamani!!.
 
Umezoea vya bure siyo? Huyo ni laghai subiri baada ya muda maumivu yatakayowakuta hao wananchi wake. Wanajeshi siyo wa kuwaamini. Kanuni ya dunia hairuhusu mtu kuishi bure. Tumia akili kufikiri siyo kila ujinga ni wa kushabikia. Marekani ashindwe kupeleka huduma bure, eti jinga moja tu maskini, asiye ht na elimu inayoeleweka atoe huduma bure? Tumia akili badala ya makalio
Nilijua tu lazima kuna wapumbavu machawa na vibaraka wa mafisadi ya ccm mtachukizwa na hii habari na hatimae kuja na negative comments.

Ulaghai wa Traore uko wapi mjinga wewe? Wewe unaifahamu vizuri Burkinafaso kuliko hata Traore mwenyewe kwamba haiwezekani kutoa free basic needs kwa wanainchi wake?

Unafahamu utajiri wa dhahabu,zinc,alumasi na copper uliopo Burikanafaso pamoja na population yao?

Kwamba tusiwaamini wanajeshi, kwa hiyo tuwaamini wana siasa aina ya mwigulu nchemba au? Na pia nani kakwambia huko marekani serikali haitoi huduma bure? Mbona unakuwa una akili ndogo hivi wewe jamaa? Kweli hakuna chawa mwenye akili.

Hivi unajua hiyo USA na wenzake wa dunia ya kwanza wana welfare systems ambapo ndani yake kuna government handouts kwa ajili ya unemployed group na retirees yaani wazee? usa sio tu kwamba anawapa wanainchi wake huduma bure, anawapa mpaka pesa za kujikimu(kama ulivyosoma kwenye hii habari ni kwa makundi baadhi) halafu wewe mshamba mmoja tu usiyekuwa na elimu yoyote eti unakuja kuropoka "kanuni ya dunia hairuhusu mtu kuishi bure" mjinga kweli wewe labda dunia ya nyumbani kwenu huko.

Anachokifanya Capt.Traore ndio kitu ambacho kiongozi yoyote yule mzalendo anapaswa kukifanya hasa kwenye mataifa ambayo yamebarikiwa kuwa na rasilimali lukuki kama ya afrika.

Traore amefuta deni la taifa walilokuwa wanadaiwa kwa miaka 30 iliyopita na pia vile vile amejenga plants za kusafisha dhahabu hapo hapo nchini kwake na sasa hivi anampango wa kujenga plant za kusafisha diamond na bauxite hivi karibuni na hii ita boost mapato kwenye sector yao ya madini mara tatu zaidi, sasa kutoa huduma za umeme na maji tena kwa wazee wasiojiweza inashindikana nini?

Au unafikiri Traore na yeye ni kilaza kama mama ako chura kiziwi ambaye kila kukicha anaenda kukopa kopa ovyo licha ya rasilimali lukuki tulizonazo hapa nchini, na bado pia hizo pesa zenyewe anazoenda kuzikopa anashindwa kuzisimamia zinaibiwa ovyo tu na mafisadi.

Unafikiri na Traore ni kichwa maji kama mama ako Samia ambaye ameshindwa kuendesha vyanzo vikuu vya mapato kama bandari na badala yake ameamua kuwakabidhi waarabu ndio wamuendeshee....Traore hana huo upumbavu kabisa, kwanza amefukuza makampuni mengi sana ya ufaransa na marekani kwenye migodi ya dhaabu, na sasa hivi serikali imeshika migodi yote.

Tatizo nyie maccm mkishindwa kufanya jambo la maana kwa wanainchi, basi mnaamini kila mtu hawezi, wapuuzi sana nyie... na huwa mnawaachukia sana viongozi wa kiafrika wazalendo na wenye uthubutu kama Traore.

Nyie maccm wengi mnamchukia sana Traore, kuna siku napo nilimuona Kingwangala akicomment kumpondea Traore kule X, yaani kwa sababu mnalea majizi na mafisadi basi mnatamani kila mtu awe kama nyie, mnaudhi sana wajinga nyie.

Tanzania ni moja ya nchi ambayo inatoza kodi kubwa sana kwa wanainchi wake licha ya rasilimali lukuki zilizopo kwenye taifa hili, lakin pamoja na hivyo bado huduma nyingi za kijamii zinazotolewa na serikali ni duni sana.

Wewe kibaraka wa mafisadi ukiona habari za Traore(raisi wa Afrika) zinakukera uwe unakaa kimya ujifanye hujaziona, au uende kwenye nyuzi za choicevariable mkamsifie mama yenu huko, huyu mwamba tuachie sisi tunayemkubali tumpe maua yake.... wewe nenda kasifie majizi ya ccm
 
Mimi najiulizaga huyu dogo captain aliwezaje kupindua nchi wakati ma general wapo na usalama wa taifa wapo? Yan atoke yeye rank ya chini akakalie kiti ambacho mkuu wa majeshi naamin si kama hakua anakitamani!!.
Mimi mwenyewe nimewahi kujiuliza swali kama hilo mara kadhaa hadi nikaamua kuchimba...

Inakuwaje mtu mwenye cheo cha ukepteini leo ndio anakuwa mkuu wa nchi baada ya coup d'etat?

Lakini nikaja kuona kumbe sio mara yao kwanza kuongozwa na mtu mwenye cheo chini baada ya mapinduzi ya kijeshi...

Kumbe hata mwaka 1983 baada ya kumpindua Saye Zerbo aliyeeongoza mapinduzi yale general Gabriel Yorian alimteua afisa mdogo tu wa jeshi Jean Bapstiste Ouedraogo kuwa raisi wa Burkinafaso kutokana na uzoefu wake uongozi wa uma... ambaye na yeye kwa baadae ndio akaja kupinduliwa na Sankara.

Hivyo hivyo pia hata kwa huyu Traore mwaka 2022 baada ya mkuu wa majeshi Paul Damiba aliyewaongoza akina Traore kumuondoa raisi Roch Kabore, na kisha kukalia kiti cha uraisi...

Moja ya mambo ambayo alishundwa kuyatimiza ni kupambana na kundi la waasi lililokuwa linajitanua na badala yake akawa amekijita zaidi kwenye kugawa vyeo baada ya kulivunja bunge halafu akaanza kushirikiana na serikali ya ufaransa, kitu ambacho kilimuudhi sana Traore na majuntas wenzake ndio wakaona huyu mjinga ni kumuondoa haraka sana.... kisha Traore ndio akakilia hicho kiti cha uraisi akiwa na rank yake yake hiyo hiyo ya ukeptain.

Mpaka hivi karibuni Paul Damiba alikuwa mafichoni huko kwenye kambi za wafaransa ambazo na zenyewe Traore ameshazifurumusha.
 
Kwa uchumi wa Burkina Faso, hicho ni kiinimacho cha muda tu
Ukiwa na akili ndogo na duni zilizochanganyikana tabia za wizi,ufisadi na ulaghai utaona hicho ni kiini macho.

Ila kwa kiongozi yoyote mwenye akili timamu ambaye anajua kutumia rasilimali za taifa lake kwa usahihi hilo linawezekana kabisa.

Nyie maccm mnaamini kila kiongozi ni mjinga mjinga na hana akili kama nyie etii?
 
Haya mambo yanawezekana hasa kwa rasilimali tulizonazo ila kwasababu tumekubali kuwa makondoo basi acha tuendelee kuliwa.

NB:BINAFSI DEMOKRASIA INATUCHELEWESHA SANA KUFIKIA NCHI YA AHADI,HAKUNA DUNIANI NCHI ILIYOENDELEA KWA KUHANGAIKA NA DEMO+KRATOS MPAKA ILIPO
 
Back
Top Bottom