Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,000
- 25,342
Fisiemu???Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata
Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara
Mungu ambariki huyu KIJANA !!!
Earthmover Kasumbalesa
DuuuhAnaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata
Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara
Mungu ambariki huyu KIJANA !!!
Earthmover Kasumbalesa
Umeandika Kipare zaidi.No Reform No Erection!
na kuzisoma hatuwez hadi tutafuniweHuku bado tunacheza na ripoti za CAG
100%Bila shaka Hawa huyu ndiye Rais ambaye anajitambua afrika nzima
Ni kupunguza Matumizi tu .....INAWEZEKANAHivi huyu mwamba anafanya kweli hayo maendeleo???
Kama ni kweli hatuwezi kumkodi hata nusu mwaka atuoneshe njia tu
NO erevtion tutaingizaje mzigo mkuu wangu?No Reform No Erection!
Hawa ndo vijana wenye akili wa huku ni sawa na mako busy kutafuta political mileage wengine ni kupenda kuitwa chawa.Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata
Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara
Mungu ambariki huyu KIJANA !!!
Earthmover Kasumbalesa
Hakuna cha bure duniani, hata ARV zinagawiwa bure ila kuna watu wanalipia.Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata
Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara
Mungu ambariki huyu KIJANA !!!
Earthmover Kasumbalesa
Bila shaka huyu ndiye Rais ambaye anajitambua afrika nzima.