saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Umezoea vya bure siyo? Huyo ni laghai subiri baada ya muda maumivu yatakayowakuta hao wananchi wake. Wanajeshi siyo wa kuwaamini. Kanuni ya dunia hairuhusu mtu kuishi bure. Tumia akili kufikiri siyo kila ujinga ni wa kushabikia. Marekani ashindwe kupeleka huduma bure, eti jinga moja tu maskini, asiye ht na elimu inayoeleweka atoe huduma bure? Tumia akili badala ya makalioAnaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata
Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara
Mungu ambariki huyu KIJANA !!!
Earthmover Kasumbalesa
Chawa mtoto wa mama Vitimaalum asubuhi kucheza game na kusubiri chakulaHakuna cha bure duniani, hata ARV zinagawiwa bure ila kuna watu wanalipia.
Na uzuri mmoja Mwamba mmoja katika hili Taifa aliwahi kuonyesha kwamba inawezekana.Ni kupunguza Matumizi tu .....INAWEZEKANA
Fyeka mishahara ya wabunge
Fyeka MAVIETEEE
Fyeka MATAMASHA
Fyeka Safari za nje
Fyekaa fyeeekaa fyeeeka!!!
Mbogamboga fcUmezoea vya bure siyo? Huyo ni laghai subiri baada ya muda maumivu yatakayowakuta hao wananchi wake. Wanajeshi siyo wa kuwaamini. Kanuni ya dunia hairuhusu mtu kuishi bure. Tumia akili kufikiri siyo kila ujinga ni wa kushabikia. Marekani ashindwe kupeleka huduma bure, eti jinga moja tu maskini, asiye ht na elimu inayoeleweka atoe huduma bure? Tumia akili badala ya makalio
No Erection no Entry...No Reform No Erection!
Mkuu ukosahih lakin hapo kazungumzia kundi flan la watu.Umezoea vya bure siyo? Huyo ni laghai subiri baada ya muda maumivu yatakayowakuta hao wananchi wake. Wanajeshi siyo wa kuwaamini. Kanuni ya dunia hairuhusu mtu kuishi bure. Tumia akili kufikiri siyo kila ujinga ni wa kushabikia. Marekani ashindwe kupeleka huduma bure, eti jinga moja tu maskini, asiye ht na elimu inayoeleweka atoe huduma bure? Tumia akili badala ya makalio
Magulification must go on.Bila shaka huyu ndiye Rais ambaye anajitambua afrika nzima.
🤣🤣 Mitano tena kwa huyu Mjeda akimaliza huko kwaoMagulification is alive today.
R.I.P Jiwe
Magulification must go on.
Waafrika wenzangu huyu Traore akimaliza miaka yake mitano huko Burkina, tufanye kila tuliwezalo, tumlete huku kwetu na tuumpe uraia wa heshima, aoe mtanzania-kwa heshima🔥😁 halafu tumchague awe Raisi wetu, angalau kwa muhula mmoja tu.
Wazungu(eti ma expert) wame tucheleweshea sana maendeleo wakati expert wetu yupo pale🙌🏾
Wizi kiwango cha gejiHuku Tanzania service line tunalipia wakati ni mali ya tanesco!si wizi huo?
Mambo ya Evelyn Salt hayo 🤣🤣🤣No Reform No Erection!
😃 😀 😄 😁 🤣 sasa kaka, mambo erection yanaingiaje kwenye mambo ya Tanesco tena? Au ku erect nguzo?No Reform No Erection!
...anafanya kazi nzuri sana🤣🤣 Mitano tena kwa huyu Mjeda akimaliza huko kwao
...anafanya kazi nzuri sana
...na kwa hilo tunaanza kuandaa Katiba ya Waafrika wote.
...Akishamaliza muhula wake wa kuiongoza Tanzania, asimikwe awe Raisi wa Afrika nzima.
...ni ndoto inayoweza kufikiwa🔥💯🙏🏿