Ibrahim Traore : Umeme bure Maji bure kwa Wazee Burkina Faso Hakuna Kulipa

Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata

Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara

Mungu ambariki huyu KIJANA !!!

Earthmover Kasumbalesa
Naunga mkono hoja!
 
Sisi wenye kila kitu umeme juu, gas, bandari nk tumegawa, viongozi wanalindana, chawa maisha magumu lakini ndiyo hivyo,
 
Muamar Gadafi mbona aliweza, tusitishane mkuu, huyo hajasema bure kwa kila mtu bali baadhi tu.
 
Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata

Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara

Mungu ambariki huyu KIJANA !!!

Earthmover Kasumbalesa
Kwa uchumi wa Burkina Faso, hicho ni kiinimacho cha muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…