ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

Yes vizuri kabisa. Juzi kati hapa walitaka ku investigate wanajeshi wa Marekani kuwa walifanya Makosa hayo huko Afghanistan. Marekani imewapiga marufuku kukanyanga Ndani ya Nchi hiyo, though Marekani siyo member wa hiyo Mahakama kwakuwa siyo signatory wa Mkataba unaoinzisha( The Rome Statute for the International Criminal Court).

Aliyekuwa Rais wa Sudani Ali Bashir hadi leo hajapelekwa pamoja na kutolewa kwa warrant ya kukamatwa mda mrefu. Moja ya Changamoto ya International Law ni uncertainty kwenye enforcement Mechanism. Hawana Police Wala Gereza
So mtu anaweza kukataa kutii amri and nothing happens zaidi labda ya kelele na vikwazo.
Lakini pia Kama nilivoeleza awali, hii Mahakama watu wameanza kuipuza sana kwa kuwa ni Kama inatumika na baaada ya USA kuwapigia biti ndo kabisa kila mtu anawadharau. Lakini pia ni Kama inatumika.
Mfano, Kule Mymal Kuna Malalamiko ya watu wenye Imani ya Kiislam kufanyiwa Makosa hayo na Kuna watu wamelalamika na kupeleka mashtaka nadhani Gambia. Lakini nothing will be done kwa Sababu ya Mama kiongozi wa Mymal ni pro Western, ndio maana hata huskii kelele Kama mambo ingekuwa if hizo allegations zingekuwa angainst African state.
Juzi kati hapa, walifanya kituko. Wakati Uchaguzi wa Kongo umekaribia walimwachia Jean Pierry Bemba aende agombee Urais baaada ya kumshiklia kwa mda mrefu na alivoenda Mambo yakawa ndivyo sivyo wakamkamata tena.
Unaweza ukaona, kwamba hii Mahakama inavyopoteza heshima yake kwa kasi ya ajabu sana!
 
ICC inashughulikia kesi za genocide, atrocity, crimes against humanity, use of child soldiers, hayo mengine hayaangukii kwenye jurisdiction yao, hamna kesi hapo. Ni blah blah blah
 
Huyo uliem quote hiyo comment yake ni namba ngapi? nina maswali kwake.
Mpaka miaka mitano iishe mzee utakuwa umechizi. Tafuta biashara nyingine hii ya Siasa imeshaingia mchanga Budha! Maana unahaha hatari! Utafikiri huna kazi nyingine, 24 hrs, 7 days uko humu!
 
ICC inashughulikia kesi za genocide, atrocity, crimes against humanity, use of child soldiers, hayo mengine hayaangukii kwenye jurisdiction yao, hamna kesi hapo. Ni blah blah blah
Crime against humanity.
 
S
Hakuna udogo kuhusiana na mauaji ya watu, kuiba kura na kutesa watu.
Subiri mwisho uone itaishaje
Mwanzo wa ukuta ndiyo mwisho wake - nadhani kinacholeta mkanganyiko ni uwezo wa mamlaka za ndani kutokuwa tayari kupingana kwenye maamuzi

Tusitarabike wote na kuacha ushenzi ushenzi unaotuchafua just for the sake ya wabinafsi wachache
 
Juu umejitahidi kuelezea vizuri, hasa hapo kwenye makosa dhidi ya ubinaadamu (Crime against Humanity).

Umeielezea Tanzania kama nchi yenye "Strong Internal State Machinery" hii umeitumia kama moja ya defence yako kudanganya watu kwamba hiyo kesi haiwezi kuwa tried at ICC, ningependa uniambie, ni kigezo gani umekitumia ku justify hiyo title kwa vyombo vyetu vya maamuzi?

Binafsi, najua hivyo vyombo vyetu havina hiyo sifa ulivyovipa, vyote vinamilikiwa na CCM, hivyo huwezi kesi ya nyani ukampa ngedere, hapa tusidanganyane.

Lakini kubwa zaidi ni hili, na sijui kama unalifahamu au hulifahamu. Moja ya vigezo vya hiyo mahakama ni kuhakikisha mlalamikaji kabla ya kwenda kwao, amewahi kupeleka kwenye vyombo vyake vya ndani (mahakama) malalamiko yake, na kuamuliwa.

Lakini hilo halimzuii mlalamikaji kuendelea na step inayofuata, namaanisha kwenda ICC kama atakuwa hajaridhika na maamuzi ya mahakama za ndani, hili naona wengi hamlisemi, sijui ni makusudi au vipi nyie mmeegemea kimoja tu lazima aanze na mahakama za ndani, kama vile kwa kufanya hivyo ndio itakuwa final, something which is very wrong.

Ndio maana tunasema humu, hao wanaoshtakiwa, watapandishwa kizimbani ICC hata kama ni baada ya miaka kumi, hilo ni vyema wakalifahamu vizuri.
 
Huo ni Mtazamo wako Bosi. USA huko mnakosema wamestaraabika na institutions Strong watu wanapigwa Risasi Mchana kweupe na maisha yanaendelea, kila siku Blacks wanatandikwa Risasi tena na Polisi, kitu ambacho watu wakikomaa sawa sawa inaweza kuingia kwenye Genocide.Lakini Kuna mtu amepelekwa ICC hadi leo.
Kwahiyo muache kujifafijisha. Watu wameshindwa Uchaguzi halafu mnaleta sijui ujinga wait kwenda ICC for what! Kwa kipi Cha ajabu kimetokea Tanzania.
Pale Ivory Coast Rais amejiongezea Mhula umeskia kelele yeyoye, watu zaidi ya 30 wamekufa, umeskia kelele yoyote? Unajua kwanini!? Yuke Rais aliwekea na Wafaransa ni Kibaraka Cha Wafaransa hata angeua watu wangapi you will never hear them condem him.
Sometimes na nyinyi mwege na akili. If they love you, kwanini hawa wasaidie na nyie mkawa matajiri as they are, kwanini hawawapi mbinu zinazowafanya wao wawe matajiri.
Kwanini Africa inapodhurumiwa na Makampuni yao kwenye rasli Mali hewapigi kelele na kuwatetea Waafrika. Kwanini wanapigwa kelele kwenye vitu vya kijinga kijinga tu if they real feel sorry for Africans
 
The abundant bessings be upon you. In your opinion, do you have any clue of the time frame for the preliminary examination and investigation process?
 
Mpaka miaka mitano iishe mzee utakuwa umechizi. Tafuta biashara nyingine hii ya Siasa imeshaingia mchanga Budha! Maana unahaha hatari! Utafikiri huna kazi nyingine, 24 hrs, 7 days uko humu!
Haya mambo ya ICC yenyewe ndio kazi yangu, kwahiyo hapa nakufundisha ujuzi wangu. Mi sio ticha kushika chaki all the time.

Una lingine?!
 
No woman no cry. Mwanamke ndo uibeba dunia, mwanamke mmoja akikosea kwenye malezi Bora mtoto akiwa kiongozi upeleka kilio kwenye Jamii.
 
Mpaka miaka mitano iishe mzee utakuwa umechizi. Tafuta biashara nyingine hii ya Siasa imeshaingia mchanga Budha! Maana unahaha hatari! Utafikiri huna kazi nyingine, 24 hrs, 7 days uko humu!
Hivi kumbe nawe umenotice eeh yaani asipoangalia atapata ugonjwa wa moyo bure.
 
Hakuna unachokijua brother! Acha porojo, lazima kuwe na serous crimes committed and ziwe na some Sort ya muendelezo, lakini lazima kuwe na ushahidi kuwa vyombo vya ndani havitaki kushughulikia swala hilo hata baaada ya kulalamikia au havina uwezo wa kulishughulikia. Now Matokeo yatakuwaje ya kesi Hilo ni swala lingine.
Nakuhakikishia there nothing to bring ICC in Tanzania, kilichofanyika ni kutafuta faraja kipindi hiki ambacho mnapitia maumivu makali baaada ya kipigo cha paka mwizi
 
Reactions: nao
Asante sana mkuu. Nikiwa na swali nitarudi tena
 
Haya mambo ya ICC yenyewe ndio kazi yangu, kwahiyo hapa nakufundisha ujuzi wangu. Mi sio ticha kushika chaki all the time.

Una lingine?!
Ungekuwa unajua anything about ICC and how it works wala usingejaribu kuandika ujinga unaouandika Budha. But if you are, tililika hapa tukuskie!
 
Hujui chochote.

Ukisema serious crimes unamaanisha nini?

Hiyo serious crimes inaingia kwenye group gani kati ya yale manne ya kesi zinazofanyiwa kazi na hiyo mahakama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…