ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

Hujui chochote.

Ukisema serious crimes unamaanisha nini?

Hiyo serious crimes inaingia kwenye group gani kati ya yale manne ya kesi zinazofanyiwa kazi na hiyo mahakama?
Sikiliza brother, tusibishane hapa kwa hisia tu. Tufanye wewe ndiye umepeleka notification huko ICC taja any crime ambayo imetokea wakati wa Uchaguzi na eleza how iwe acceptable kuwa ipo triable na ICC. Nisije kuwa nabishana bure na Ngumbalu hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio umejibu maswali yangu?!
 
We see in practice what has happened and is happening. People in the opposition camp are being prosecuted and some killed. Some have escaped death and made physically lame. Yet the Government is denying. What a pity?
 
Al-Bashir and Gagbo in making!
 
Vitendo vilivyotokea havina uzito wa kuingiliwa na mahakama za kimataifa - ni migogoro midogo iwezayo kumalizwa na mahakama za ndani ya nchi
Usijichekeshe! Mahakama hizihizi ambazo zimefungwa miguu na mikono ili zisifurukute! Au hizi ambazo majaji na Mahakimu wanapambana kusaka uteuzi na ama kulipa fadhila kwa kuteuliwa?
Unajua Mahakama za bongo haziruhusiwi kuhoji ushindi wa mkulu akishatangazwa na Mahera? Nitajie Mahakama iliyo huru hapo bongo nikafungue shtaka!
 
Nilijua tu hapa nabishana na Ngumbalu.
Naomba fanya hivo alafu ndipo tuendelee na mjadala
Maswali madogo yamekushinda kujibu unakimbia kijanja, kacheze na watoto wenzio.

Huwezi endeleza mjadala na mimi.
 
Maswali madogo yamekushinda kujibu unakimbia kijanja, kacheze na watoto wenzio.

Huwezi endeleza mjadala na mimi.
Teh teh tehπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚naona ulikuwa unaomba shule kijanja toka kwangu, lipia fees Mzee njoo PM nikupe shule ha ha ha ha, nimekutana just a simple tusk. Fanya wewe ndiye unapeleka notification au Malalamiko ICC, just I few words utalalamika which crime imekuwa committed with whom angainst who( Maana hii Mahakama in deal na individuals, shule nyingine ya bure maana najua ulikuwa hueleewi) na useme why ICC should assume jurisdictions!

Umeshindwa na hii ni prove ni muendelezo wenu wajinga na humu mpo wengi kudandia vitu ambavyo hata hamna uelewa navyo!
 
Hivi wewe ni mkuda eeh! Isijekuwa ni another bushlawyer from CCM? Yaani hujaiona crime yoyote iliyofanywa na CCM wakishirikiana na dola kwenye Uchaguzi wa October 28?
Hujasikia Kuna watu wameua na wengine kuteswa na vyombo ya serikali kwa namna moja au nyingine? Hivi kesi za dola unazirudisha kwenye dola hiyohiyo then unaexpect justice? Itendee nafsi yako hisani vinginevyo itakusababishia kisukari!
 
Muache kichaa huyo, anajichekesha tu.
 
Ni task, sio tusk.
 
Hata mimi nina wasi wasi huo ,tukumbuke tu hawa Watu huwa na Mipango mirefu sana katika kutekeleza Majukumu yao ya namna ya kudili na ma Criminal.

Tujipe Muda.
Mimi pia.
Niko pessimistic, huko mbele naona giza tu.
Sioni haki yoyote tutatendewa kwenye generation hii. Tuwaombee walioteswa na kutangulia. Na sisi tuliobakia tuwe waangalifu. Siku hizi nasikia huzuni sana.
 
Unaona ulivo Boya. Fanya kazi nyepesi. Taja kwamba Kuna hii crime imefanywa na fulani na dhidi ya fulani na ICC inaweza kui intertain kwa Sababu hizi.
Vinginevyo you are just a Moron like other Morons!
 
Hivi unajua kuwa serikali mpya ya Sudan wanafanya majadilio na ICC juu ya Al Bashir???

Endelea tu kuwadanganya wenzako, kwa iyo unamaanisha Tanzania tutakuwa kama Marekani kuwapiga marufuku wachunguzi wa ICC kukanyaga Tanzania???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yes kwa Sababu wamewekwa and they must comply with their Lord's wishes!
 
Unaona ulivo Boya. Fanya kazi nyepesi. Taja kwamba Kuna hii crime imefanywa na fulani na dhidi ya fulani na ICC inaweza kui intertain kwa Sababu hizi.
Vinginevyo you are just a Moron like other Morons!
Mauaji ya wapinzani kwenye Uchaguzi uliopita Zanzibar, Songwe na Mara yakiyofanywa na vikosi vya ulinzi na usalama vinavyoongozwa na Magufuli ambaye ndo Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama sio makosa dhidi ya binadamu hayo?

Kukamata wapinzani na kuwafungulia makosa yasiyo na dhamana ili kuwazuia wasishiriki Uchaguzi sio makosa dhidi ya binadamu hayo?

Hadi sasa Nassoro Mazrui ametekwa na vikosi vya Serikali na wanachama wengine wa ACT , huko Singida wana CHADEMA wameshtakiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi wakati walikuwa wanashiriki haki zao za msingi, hayo si makosa dhidi ya binadamu kilaza wewe?

Hivi mnafikiri tamko lililotolewa na kamisheni ya umoja wa mataifa ya haki za binadamu dhidi ya Magufuli na Tanzania lilikuwa la mchezo mchezo eeeh? Sasa subirini Muone matokeo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…