Kwakweli awabariki tuu maanaMungu awabariki mabeberu. Tunasubiri actions sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli awabariki tuu maanaMungu awabariki mabeberu. Tunasubiri actions sasa.
Kweli king'eng'e kina wenyewe yaani mimi ni namba moja ambaye nilielewa tofautiKuna wajinga humu wanadanganyana hiyo Mahakama haiwezi kuwashughulikia watesi wetu, waacheni waendelee kujidanganya.
Wajue fika watapandishwa kizimbani hata kama ni baada ya miaka kumi, kuwa kwao madarakani sasa hivi kusiwadanganye, hiyo siku yaja, watavuna walichopanda.
Neno "Communication" kwa wale msiojua linamaanisha Hati ya Mashtaka. Hii ni lugha yao kwenye hiyo mahakama.
Msije kudhani linamaanisha mawasiliano.
Wewe ndio hujaelewa, ndio maana nimemuuliza anajua kwa Mwaka Mahakama ya Tanzania Inaamua kesi ngapi!? Umefanya utafiti kwenye kesi ngapi hadi ufikie Hilo hitimisho!Bahati mbaya unajibu hoja kwa kukurupuka. Hujaelewa context!
Hapa hatuzunhumzii uwezo wa mahakama katika kuamua baadhi ya kesi hali tunazungumzia uhuru wa mahakama katika ujumla wake.
Mahakama inayoambiwa hukumuni haraka wenye kesi za madai ya kodi, mahakama inayopewa hukumu iliyoandaliwa na RC kama ilivyotokea kwa Sugu kule Mbeya au inayoamriwa imfunge Mbowe, mahakama ambayo Jaji mkuu anashiriki vikao vya siri vya CCM, mahakama ambayo kiongozi wake mkuu yaani Jaji mkuu anayepokea maelekezo toka jwa Rais na Katibu wa CCM, mahakama ambayo imepewa uhuru wa kuhukumu kesi za wizi wa kuku, mashauri ya viwanja lakini ikanyimwa uhuru wa kuamua kesi za wanasiasa na wanaodaiwa ni wahujumu uchumi, hakuna namna yoyote ya mahakama hiyo kuitwa ni mahakama huru.
Na Rais Magufuli anajivunia kuweza kuiweka mahakama na Bunge mfukoni mwake. Naye kwa kauki yake aluwahi kusema, muhimili wake wa Serikali una mizizi iliyojichimbia, akimaanisha kuwa mahakama na Bunge ni matawi, yeye ana uwezo wa kuyafanya atakavyo. Na amedhihirisha hilo kwa kauli na vitendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unafahamu wangapi, hebu wataje majina na mitaa waliyokuwa wanaishi.Wewe nadhani huelewi hata kinachojadiliwa. Tuliza akili.
Hapa tunaongelea mauaji ya watu yenye uhusiano na mchakato wa uchaguzi au shughuli za siasa.
Unafahamu chochote kuhusu mauaji yaliyofanywa na serikali kwa wananchi wake kule Zanzibar? Hatuongelei mtu mmoja au wawili au hata watano waliouawa na majambazi bali wananchi waliouawa na Serikali kwa sababu ya misimamo yao ya kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
🖕🏿Nilikuwa sijui mkuu. Kwani huko kwenu sasa ni saa ngapi? Hapa ni saa nne asubuhi!
🖕🏿Pia huko wapinzani hawachomi magari na nyumba za wakurugenzi na wabunge wateule!!
Thanks!
You are warmly welcome 🖕🏿Thanks!
Kaka yake wenje ni nani??? Wanachama 13 wa ACT Zanzibar ni nani???? Au unataka kusema hawajauwawa na wale waliozikwa ni migomba????Mpinzani yupi aliuliwa, ukiambiwa utaje jina unaweza kumtaja. Mbona hamsemi viongozi na wanachama wa CCM waliokufa, Juzi Kuna sijui diwani hapo kibaha kachomewa Nyumba akiwa ndani na wajukuu zake. Na hapa ndipo mnashindwa kuelewa na kuonekana mazwazwa. Kwani kabla ya Uchaguzi watu walikuwa hawauani, watu walikuwa hawafi, kwahiyo ICC ije ishugulikie waliomuua Mwenyekiti wa UV CCM Iringa au huyo diwani aliyechomwa Moto. Ndio akili zenu zimefika hapo.
Hayo matukio Kama yapo ni uhalifu Kama uhalifu mwingine na unadhughulikiwa kwa mjibu wa Taratibu zilizopo.
USA kila siku watu wanabutuliwa Risasi tena wakati mwingine na Askari! Umeskia Kuna mtu amepelekwa ICC. Kwahiyo watu wakiuana, watu wakijeruhina basi twende ICC. Umesema huko Singida wapo Mahakani. Mimi nadhani uache Mahakama ifanye kazi yake ili haki itendeke!
Dr.Abas kaeleza vyema, na mimi ninajiuliza je Lissu ni tishio kabla au baada ya Uchaguzi mkuu wa 2020?! Kalindwa vyema vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na yeye amekiri kwa nini leo baada ya kushindwa atishwe?! Nadhani hakuna ukweli hapa ni utamaduni wa kukataa matokeo na kukosa uzalendo kwa Nchi! Bora tukose wote!The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election and its aftermath.
The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), one of the main opposition parties and Maria Sarungi Tsehai, an independent human rights activist, have separately written to court, requesting an official ICC inquiry into their claims of atrocities committed against Tanzanian citizens in opposition and those who are disputing the election’s conduct and results.
View attachment 1626748
In an e-mailed response to a query from The EastAfrican, the ICC prosecutor’s office said although the court was by law ‘’duty-bound’’ to protect the confidentiality of information received on alleged crimes, “in this instance we can confirm we have received the communications as the senders have made that fact public.”
“We analyse material submitted, as appropriate, in accordance with the Rome Statute which established the court and with full independence and impartiality,” the office said.
The first step would be to assess whether the communication concern “matters that are manifestly outside the jurisdiction of the court… As soon as we reach a decision on the appropriate next step, we inform the sender and provide reasons for our decision,” it added.
ACT-Wazalendo leader Zitto Kabwe told the media on November 8 that the party had already submitted evidence to the ICC, Amnesty International and Human Rights Watch.
“We have also written to the Commonwealth and the AU asking them to investigate the October 28 elections and oversee the holding of new elections. We refuse to recognise this election and will continue to protest peacefully for a return of democracy,” Mr Kabwe said.
Ms Tsehai, the director of the independent Kwanza Online TV station and founder of the #ChangeTanzania social movement, tweeted on November 9 that she had also canvassed the ICC, though she was not available for comment on the content of her letter by the time of going to press.
“I used my skills, training as a journalist to fulfil my duty and submit to the ICC evidence of crimes against humanity in Tanzania,” she tweeted.
At least two prominent members of the main opposition Chadema party, one being its presidential candidate Tundu Lissu, have fled Tanzania over the past week, citing persecution by state authorities and threats to their lives, allegations denied by government spokesperson Hassan Abbasi as unsubstantiated.
“Those opposition leaders who are running away on the pretext of having had their lives threatened should tell us who threatened them, when and where. It is those same leaders who just completed 60 days of election campaigning during which they were given non-stop state security and we heard no complaints about that. Now after losing they start complaining about being threatened,” Dr Hassan Abbasi said.
Mr Lissu left for Belgium aboard an Ethiopian Airlines flight on Tuesday after a week holed up at the German embassy in Dar es Salaam, while Chadema’s longtime Arusha Urban legislator Godbless Lemahas been granted political asylum in Kenya with his family.
Both cited security threats for leaving. Mr Lema is one of several Chadema opposition heavyweights who lost their parliamentary seats to CCM newcomers. Another Chadema former MP, Lazaro Nyalandu (Singida North), was also reported to have tried to flee to Kenya but was denied exit by immigration officials at the Namanga border post for lacking proper travel documentation.
Dr Abbasi said he was not worried by negative perceptions being created by the action of fleeing opposition leaders.
“The international community is sensible and doesn’t just believe any Tom, Dick and Harry’s claims for asylum on grounds of persecution. But that is their prerogative. Most of them still respect the 1951 Refugee Convention, Article 1 which offers clear definition who deserves to be a refugee,” he added.
Sasa mbona unatapatapa. Mara jurisdiction mara mahakama ilishapiteza credibility. Hivi Mahakama za Tanzania zina credibility? Je, imezifanya ziaxhe kazi yake?Utasubiri Sana brother, nenda kasome vizuri jurisdiction ya hiyo Mahakama and under what curcumstances inaweza ku assume Majukumuu ambayo kimsingi yanapaswa kushughulikiwa na Nchi huska. By the way, hizi ni porojo na Namna ya kujicomfort baada ya kipigo cha Mbwa Koko.
Vitu vingine viko wazi. Take your time, Isomeke hiyo Mahakama, Soma crimes it has jurisdiction to try and kwa Mazingira gani inaweza ku intervene.
Mwisho kabisa, hii Mahakama imeshapoteza Credibility siku nyingi Sana, it is more or less like other Imperialism Machinery and every one's knows that!
Otherwise, endeleni kujifafiji Kama Kawaida yenu!
Kama Kenyatta waliokatana mapanga walimshindwa, sembuse Tanzania kisiwa cha amani! Hakuna hata aliyerusha jiwe pamoja na kuhamasishwa, hayo mashitaka ni rubbish kabisa!The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election and its aftermath.
The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), one of the main opposition parties and Maria Sarungi Tsehai, an independent human rights activist, have separately written to court, requesting an official ICC inquiry into their claims of atrocities committed against Tanzanian citizens in opposition and those who are disputing the election’s conduct and results.
In an e-mailed response to a query from The EastAfrican, the ICC prosecutor’s office said although the court was by law ‘’duty-bound’’ to protect the confidentiality of information received on alleged crimes, “in this instance we can confirm we have received the communications as the senders have made that fact public.”
THE ROME STATUTE
“We analyse material submitted, as appropriate, in accordance with the Rome Statute which established the court and with full independence and impartiality,” the office said.
The first step would be to assess whether the communication concern “matters that are manifestly outside the jurisdiction of the court… As soon as we reach a decision on the appropriate next step, we inform the sender and provide reasons for our decision,” it added.
ACT-Wazalendo leader Zitto Kabwe told the media on November 8 that the party had already submitted evidence to the ICC, Amnesty International and Human Rights Watch.
“We have also written to the Commonwealth and the AU asking them to investigate the October 28 elections and oversee the holding of new elections. We refuse to recognise this election and will continue to protest peacefully for a return of democracy,” Mr Kabwe said.
Ms Tsehai, the director of the independent Kwanza Online TV station and founder of the #ChangeTanzania social movement, tweeted on November 9 that she had also canvassed the ICC, though she was not available for comment on the content of her letter by the time of going to press.
“I used my skills, training as a journalist to fulfil my duty and submit to the ICC evidence of crimes against humanity in Tanzania,” she tweeted.
At least two prominent members of the main opposition Chadema party, one being its presidential candidate Tundu Lissu, have fled Tanzania over the past week, citing persecution by state authorities and threats to their lives, allegations denied by government spokesperson Hassan Abbasi as unsubstantiated.
POLITICAL ASYLUM
“Those opposition leaders who are running away on the pretext of having had their lives threatened should tell us who threatened them, when and where. It is those same leaders who just completed 60 days of election campaigning during which they were given non-stop state security and we heard no complaints about that. Now after losing they start complaining about being threatened,” Dr Hassan Abbasi said.
Mr Lissu left for Belgium aboard an Ethiopian Airlines flight on Tuesday after a week holed up at the German embassy in Dar es Salaam, while Chadema’s longtime Arusha Urban legislator Godbless Lema has been granted political asylum in Kenya with his family.
Both cited security threats for leaving. Mr Lema is one of several Chadema opposition heavyweights who lost their parliamentary seats to CCM newcomers. Another Chadema former MP, Lazaro Nyalandu (Singida North), was also reported to have tried to flee to Kenya but was denied exit by immigration officials at the Namanga border post for lacking proper travel documentation.
Dr Abbasi said he was not worried by negative perceptions being created by the action of fleeing opposition leaders.
“The international community is sensible and doesn’t just believe any Tom, Dick and Harry’s claims for asylum on grounds of persecution. But that is their prerogative. Most of them still respect the 1951 Refugee Convention, Article 1 which offers clear definition who deserves to be a refugee,” he added.
Ina jema gani?Habari njema sana hii.
Yaaani ukipelekwa ushahidi wa kesi mbili tu , moja ya Jaji mugasha kuruhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi na nyingine ya kuwafunga viongozi wa Chadema kwa makosa yaliyofanywa na polisi ya kumuua akwilina ICC wanaenda kuamua moja kwa moja kuchunguza wenyewe na kushtaki wao.Hizo kesi za msigwa na mbowe ndizo zinazotumika kupima weledi na uhuru wa mahakama katika mwelekeo wa Kisiasa.
Mahakama sio chombo cha kuamua kesi za nyanya na vitunguu pekee. Ni chombo ambacho wakati mwingine kinapaswa kuamua mambo muhimu yanayogusa nyoyo za hao akina magufuli.
Constitutional petitions, declaratory orders etc.
Ukiona kila kesi magufuli anashinda, tena anashinda katika mazingira tatanishi, unaona hapa mahakama imegeuka kuwa KANGAROO COURT.
For all intent and purposes, we don't need BANANA COURTS.
Tunahitaji mahakama makini zenye MAMLAKA YASIYOCHEZEWA na wanasiasa wasiojua hata kuzungumza Kiswahili kama hao akina magufuli.
The court is not a political arena for propaganda and abdacadabras.
Kwa msingi huo, ICC ni chombo kinachoaminika zaidi machoni mwa wengi katika mazingira haya ya kimagufuli.
Unampa shule nzuri huyo mtoto.Sasa mbona unatapatapa. Mara jurisdiction mara mahakama ilishapiteza credibility. Hivi Mahakama za Tanzania zina credibility? Je, imezifanya ziaxhe kazi yake?
Na unaelewa kweli maana ya jurisdiction wewe? Hii ni ICC yaani International Criminal Court. Wana prosecute crime against humanity popote ili mradi ni signatories wa hiyo PACT.
Wacheni kujipa moyo. Mmeaiba uchaguzi kama kawaida yenu. Na mmeua na kuumiza, ambayo pia ni kawaida yenu. Tofauti safari hii n kwamba mmevuka mipaka. Mmefanya kww jeuri mno tena bila kificho.
Ndio maana you will run but you won't hide. Sooner or later mnakamatwa. Maana evidence zilizo against nyinyi zinazidi walizoburutwa nazo akina Kenyatta.
Endeleeni kubeza. Ila soon mtakuwa wapole. Na Magu na CCM yenu hamna hata mtu wa kuwaonwa huruma kwa sababu your stay in power is overdue.
Poleni.
Wewe bweka tu humu. Icc Haina wanasheria wanaoijaribu fani hiyo bali wapo manguli wa Sheria! Isitoshe, wewe hata ungebweka mwaka mzima, huna impact yoyote zaidi ya kutetea tumbo lako. Wape moyo hao lumumba unaowadanganya kuwa hakuna shitaka juu yao na huenda unajitafutia kasafari ka kuwasikikiza the Hague ukauze nyago!Unaona ulivo Boya. Fanya kazi nyepesi. Taja kwamba Kuna hii crime imefanywa na fulani na dhidi ya fulani na ICC inaweza kui intertain kwa Sababu hizi.
Vinginevyo you are just a Moron like other Morons!
Kama wanajua maana ya nguvu ya umma hao ICC wajaribu lolote kwa Magufuli.Ile kijani ilyoenea Tanzania nzima ndiyo dunia itaonyeshwa.Uroho wa madaraka wa watu wachache wanaotaka wapewe uongozi baada ya kushindwa utawatokea wao wenyewe puani pamoja na ICCC.Tulikuwa tunaongea maendeo wakati wa kampeni nynyi mnahubiri kuwa patachimbika Nani atawapigia kura watu wenye kiburi na majivumo ? Watu kama hao ICCC inawaunga mkono ? Kwetu sisi uchaguzi umeisha.Anayetaka kuja aje kwa heshima na adabu.The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election and its aftermath.
The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), one of the main opposition parties and Maria Sarungi Tsehai, an independent human rights activist, have separately written to court, requesting an official ICC inquiry into their claims of atrocities committed against Tanzanian citizens in opposition and those who are disputing the election’s conduct and results.
In an e-mailed response to a query from The EastAfrican, the ICC prosecutor’s office said although the court was by law ‘’duty-bound’’ to protect the confidentiality of information received on alleged crimes, “in this instance we can confirm we have received the communications as the senders have made that fact public.”
THE ROME STATUTE
“We analyse material submitted, as appropriate, in accordance with the Rome Statute which established the court and with full independence and impartiality,” the office said.
The first step would be to assess whether the communication concern “matters that are manifestly outside the jurisdiction of the court… As soon as we reach a decision on the appropriate next step, we inform the sender and provide reasons for our decision,” it added.
ACT-Wazalendo leader Zitto Kabwe told the media on November 8 that the party had already submitted evidence to the ICC, Amnesty International and Human Rights Watch.
“We have also written to the Commonwealth and the AU asking them to investigate the October 28 elections and oversee the holding of new elections. We refuse to recognise this election and will continue to protest peacefully for a return of democracy,” Mr Kabwe said.
Ms Tsehai, the director of the independent Kwanza Online TV station and founder of the #ChangeTanzania social movement, tweeted on November 9 that she had also canvassed the ICC, though she was not available for comment on the content of her letter by the time of going to press.
“I used my skills, training as a journalist to fulfil my duty and submit to the ICC evidence of crimes against humanity in Tanzania,” she tweeted.
At least two prominent members of the main opposition Chadema party, one being its presidential candidate Tundu Lissu, have fled Tanzania over the past week, citing persecution by state authorities and threats to their lives, allegations denied by government spokesperson Hassan Abbasi as unsubstantiated.
POLITICAL ASYLUM
“Those opposition leaders who are running away on the pretext of having had their lives threatened should tell us who threatened them, when and where. It is those same leaders who just completed 60 days of election campaigning during which they were given non-stop state security and we heard no complaints about that. Now after losing they start complaining about being threatened,” Dr Hassan Abbasi said.
Mr Lissu left for Belgium aboard an Ethiopian Airlines flight on Tuesday after a week holed up at the German embassy in Dar es Salaam, while Chadema’s longtime Arusha Urban legislator Godbless Lema has been granted political asylum in Kenya with his family.
Both cited security threats for leaving. Mr Lema is one of several Chadema opposition heavyweights who lost their parliamentary seats to CCM newcomers. Another Chadema former MP, Lazaro Nyalandu (Singida North), was also reported to have tried to flee to Kenya but was denied exit by immigration officials at the Namanga border post for lacking proper travel documentation.
Dr Abbasi said he was not worried by negative perceptions being created by the action of fleeing opposition leaders.
“The international community is sensible and doesn’t just believe any Tom, Dick and Harry’s claims for asylum on grounds of persecution. But that is their prerogative. Most of them still respect the 1951 Refugee Convention, Article 1 which offers clear definition who deserves to be a refugee,” he added.
Sisi hatumtaki dictatorWacha wajifariji mwisho wa siku tutapambana hapa hapa nyumbani. Matatizo ya Tanzania hayawezi kutatuliwa na wageni/nchi/kikundi chochote kutoka nje. JPM piga kazi Tanzania inakuhitaji sana katika wakati huu kuliko wakati mwingine wowote.