ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

Kweli king'eng'e kina wenyewe yaani mimi ni namba moja ambaye nilielewa tofauti
 
Wewe ndio hujaelewa, ndio maana nimemuuliza anajua kwa Mwaka Mahakama ya Tanzania Inaamua kesi ngapi!? Umefanya utafiti kwenye kesi ngapi hadi ufikie Hilo hitimisho!
 
Wewe unafahamu wangapi, hebu wataje majina na mitaa waliyokuwa wanaishi.
 
Kaka yake wenje ni nani??? Wanachama 13 wa ACT Zanzibar ni nani???? Au unataka kusema hawajauwawa na wale waliozikwa ni migomba????

Endeleeni tu kutiana ujinga ila mwaka huu ndo mtajua kuwa dunia haijawai Cheka na mafedhuli
 
Dr.Abas kaeleza vyema, na mimi ninajiuliza je Lissu ni tishio kabla au baada ya Uchaguzi mkuu wa 2020?! Kalindwa vyema vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na yeye amekiri kwa nini leo baada ya kushindwa atishwe?! Nadhani hakuna ukweli hapa ni utamaduni wa kukataa matokeo na kukosa uzalendo kwa Nchi! Bora tukose wote!
 
Sasa mbona unatapatapa. Mara jurisdiction mara mahakama ilishapiteza credibility. Hivi Mahakama za Tanzania zina credibility? Je, imezifanya ziaxhe kazi yake?

Na unaelewa kweli maana ya jurisdiction wewe? Hii ni ICC yaani International Criminal Court. Wana prosecute crime against humanity popote ili mradi ni signatories wa hiyo PACT.

Wacheni kujipa moyo. Mmeaiba uchaguzi kama kawaida yenu. Na mmeua na kuumiza, ambayo pia ni kawaida yenu. Tofauti safari hii n kwamba mmevuka mipaka. Mmefanya kww jeuri mno tena bila kificho.

Ndio maana you will run but you won't hide. Sooner or later mnakamatwa. Maana evidence zilizo against nyinyi zinazidi walizoburutwa nazo akina Kenyatta.

Endeleeni kubeza. Ila soon mtakuwa wapole. Na Magu na CCM yenu hamna hata mtu wa kuwaonwa huruma kwa sababu your stay in power is overdue.

Poleni.
 
Kama Kenyatta waliokatana mapanga walimshindwa, sembuse Tanzania kisiwa cha amani! Hakuna hata aliyerusha jiwe pamoja na kuhamasishwa, hayo mashitaka ni rubbish kabisa!
 
Yaaani ukipelekwa ushahidi wa kesi mbili tu , moja ya Jaji mugasha kuruhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi na nyingine ya kuwafunga viongozi wa Chadema kwa makosa yaliyofanywa na polisi ya kumuua akwilina ICC wanaenda kuamua moja kwa moja kuchunguza wenyewe na kushtaki wao.

Jambo lingine ni hili la magufuli kudharau matamko ya Umoja wa Mataifa

1. Sabaya alitumia gari zenye namba ya UN kufanya uharami, UN wakaripoti polisi, hadi leo polisi hawajachukua hatua dhidi ya Sabaya na wala Magufuli hajachukua hatua dhidi ya sabaya. Sabaya bado anadunda huko Hai. UN wanaona hili na ICC wameliona hili

2. Kutokana na uchaguzi kuwa wa kihuni na kuharibiwa, balozi za Ulaya na Marekani zimetoa matamko na kusema uchunguzi ufanyike na hatua zichukuliwe. Magufuli wakati anaapishwa alirudia Sentensi mara tatu kuonesha kuwa anawajibu “ Uchaguzi umekwisha, sasa tuchape kazi” akimaanisha hakutakuwa na uchunguzi wala nini.

Hizi ni ishara tosha ambazo wazungu wameshaziona kuwa magufuli ana kuburi. Kwa iyo Kama ana kiburi wanachoenda kumfanya ni kumtia adabu.
 
Unampa shule nzuri huyo mtoto.
 
ICC siyo ACT!!!

Hakuna la Maana pale, na hakuna kesi pale, ni hasira za mjinga kutaka akalale barabarani tu eti aonewe huruma,!!!
 
Unaona ulivo Boya. Fanya kazi nyepesi. Taja kwamba Kuna hii crime imefanywa na fulani na dhidi ya fulani na ICC inaweza kui intertain kwa Sababu hizi.
Vinginevyo you are just a Moron like other Morons!
Wewe bweka tu humu. Icc Haina wanasheria wanaoijaribu fani hiyo bali wapo manguli wa Sheria! Isitoshe, wewe hata ungebweka mwaka mzima, huna impact yoyote zaidi ya kutetea tumbo lako. Wape moyo hao lumumba unaowadanganya kuwa hakuna shitaka juu yao na huenda unajitafutia kasafari ka kuwasikikiza the Hague ukauze nyago!
Anyway, lisikilize zaidi tumbo lako ili liendelee kujazwa!
 
Kama wanajua maana ya nguvu ya umma hao ICC wajaribu lolote kwa Magufuli.Ile kijani ilyoenea Tanzania nzima ndiyo dunia itaonyeshwa.Uroho wa madaraka wa watu wachache wanaotaka wapewe uongozi baada ya kushindwa utawatokea wao wenyewe puani pamoja na ICCC.Tulikuwa tunaongea maendeo wakati wa kampeni nynyi mnahubiri kuwa patachimbika Nani atawapigia kura watu wenye kiburi na majivumo ? Watu kama hao ICCC inawaunga mkono ? Kwetu sisi uchaguzi umeisha.Anayetaka kuja aje kwa heshima na adabu.
 
Wacha wajifariji mwisho wa siku tutapambana hapa hapa nyumbani. Matatizo ya Tanzania hayawezi kutatuliwa na wageni/nchi/kikundi chochote kutoka nje. JPM piga kazi Tanzania inakuhitaji sana katika wakati huu kuliko wakati mwingine wowote.

Tunahitaji kuvuka hapa tulipo kuelekea kwenye maendele ambayo ndiyo tunayataka bila kutegemea wafyonzaji wa rasilimali zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…