ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

haya matusi yako kwa hiyo mahakama ni mepesi mno ukilinganisha na yale ya kina ghadafi, sadam na madikteta wengine. wee watukane, wadharau lakin in the long rum and at right time they will get you for sure and they will hit you at the most painful spot.
 
Mnabwekabweka sana kwenye mitandao hii lakini mambo yenu yanapoishia hayajulikani.
 

Mfumo wa mahakama zetu umekuwa ni sehemu ya kuwaibia pesa watz ni biashara kamili za kuwaibia watz masikini mabilioni huna pesa utaozea mahabusu Hadi usahau jina lako thus mahabusu masikini ndo wengi sababu hawana pesa za kununua Uhuru wao ili ushahidi ukamilike
 
Ujinga wowote hatutaki, wakaanzie Kwa Trump Kama wako Sawa! Hatutaki kuvurugwa sisi
 
Yes kwa Sababu wamewekwa and they must comply with their Lord's wishes!
Ishu sio kuwekwa je bashiru ajafanya crime against humanity, kauwa wangapi darfur kwa kumiliki Makundi ya kigaidi mfano janjaweed ili kuwauwa black wa kusini Hadi wakaamua kujitenga.
Japo nao hata baada ya kujitenga ile roho ya mauti haijawaacha wanaendelea kuuwana sababu ya riek masheri na salva kir kutetea matumbo yao na kugombea umiliki wa utafunaji Kodi za wananchi.
 
Mmmmm, Sarungi ni kiboko. Jasho watu linawatoka, akili zinafunguka, preasure inapanda kisa barua kutua ICC.

Hongera dada, ni ujasiri wa hali ya juu. Ngoja niwasubiri wamiminike, maana ndio kwanza saa 2 asubuhi kwa saa za afrika mashariki na kati. Kumbe waogaaaa!
 
Which nonsense long run you are talking about my young brother ? You keep on believing in things which will not and never happen in our country. For your good information, the so called imperialists are now trying to work out on plan B after the just finished elections.It is nothing but how to invest fairly in a new tanzania with rejuvenated economy under president magufuli. So ICCC should not be your daily morning prayers and i would say the `long run`you sing is the next five years which will again be very fierce to you because you are going to lose the few seats you have gained this time.
 
wee
wee sema usemacho bana lakin kutawala watu kimabavu haikubaliki katika dunia ya leo ya wastaarabu. In the long run, and as long nchi yetu kikatiba ni ya vyama vingi, utaangukia pua tu
 
Sawa tumaini lingine la CHADEMA lilliloibuka.

Once a loser always a loser [emoji12]

#LoserLissu.

#PoleniUpinzani
 
Utoto ndiyo nini? Kama Polisi vyombo vya dola vinawabana kila kona watapumulia wapi? hapo utoto upo wapi? Kama ni utoto upo kwa hao hao wanaotumia Dola kuminya
Utoto ni kuendekeza malalamiko na vilio kwenye mapambano .
 
Hicho chama mbadala kinaoperate vipi kwenye mazingira haya? Au umejitia upofu?
Hapa siyo ulaya kila mtu ana operate kwenye mazingira magumu wakiwemo hao waliopo serikalini wenye nia na akili kubwa wata prevail.
 
Lets put emotion aside, kila mahakama ina taratibu zake, huo ndio ukweli
Siku atapotezwa ndugu yako utaelewa

Kwa maana mkuki kwa nguruwe ila ukikuingia wewe uliye Mwanadanamu utaelewa.

Kwasasa huwezi kujuwa.
 
Image CCM nao wakifungua kesi ICC juu ya kijana wa shirikisho la vyuo vikuu aliyeuawa iringa - ICC hapo itakuwa Kisutu!
Wafungue tu. Mahakamani ni haki ya kila mtu! Kijana aliuwawa na raia. Wazanzibari wale waliuwawa na polisi! Huoni tofauti hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…