ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

Haya mataga mje mporomoshe matusi hapa.
Hivi akili yako ina uelewa wa hicho kiingereza kilichoandikwa?

Response ya ICC
"The first step would be to assess whether the communication concern “matters that are manifestly outside the jurisdiction of the court… As soon as we reach a decision on the appropriate next step, we inform the sender and provide reasons for our decision,” it added".

Response ya Abbas

“The international community is sensible and doesn’t just believe any Tom, Dick and Harry’s claims for asylum on grounds of persecution. But that is their prerogative. Most of them still respect the 1951 Refugee Convention, Article 1 which offers clear definition who deserves to be a refugee,” he added
 
Hizi ni hatua na hatua ni mwendo. Zinaweza kusaidia. Ukiona mawingu na ngurumo zinazidi utaziba matobwe kwenye paa utajaza udongo maji yasiingie ndani.

Shati limepata madoa unashtuliwa utataka kulibadilisha.

Hizi hatua zinasidia kujibadilisha haziwezi kuwa bure.

Kelele hudidia kumtoa mtu usingizini.
 
Tundu kashasema pamoja na kusisitiza kwenye kila mkutano wa kampeni wananchi wameishia kugomea mpango wake wa maandamano na sasa anataka maridhiano na rais John Pombe Joseph Magufuli
Ni Marufuku Rais JPM kufanya maridhiano na wanaharakati walioamia kwenye siasa na kisha wakashindwa siasa kwa aibu.
 
Hawajagomea Bali polisi na jeshi waliyazuia kwa nguvu. Wananchi walikuwa ready.

Mimi nimeandika alichosema Tundu kule VoA

"Ni wazi wito wangu wa kupinga matokeo ya uchaguzi haukupokelewa na watanzania. Nilisema kwenye kampeni zote kwamba wajitokeze barabarani na hawakufanya hivyo. Hii ni kwa sababu wananchi bado hawapo tayari kupambania haki zao" - Tundu

Ujue tuu kwamba wananchi wakiwa tayari hakuna anayeweza kuwazuia...

Watanzania wanamkubali rais wao na wana imani na serikali yao
 
[emoji2][emoji2][emoji2] watu wa ufipa mnachekesha Sana kwa kujipa matumaini kwa Mambo yasiyowezekana.
 
ICC nawakubali wanaweza kukusanya mashahidi wanapelekwa nchi wanaojua wao. Kwa kutunza ushahidi na usiri ni next level. Rutto naye Kenyatta walihaha si mchezo kujua mashahidi.
 
Sasa kama wanamkubali kwa Nini mliingiza masanduku ya Kura yaliyokwisha pigwa kwa ccm kwenye vituo. Kwa nini mli media zote mlizizuia kulipoti Mambo au kampeni za Lissu Kama JPM anapendwa.
 
Nimefarijika sana, ahadi yangu ipo palepale yule jogoo wangu mkubwa atachinjwa ishara ya kuwapongeza wale wote waliofanikisha hili na kuwapa pole wote waliopoteza wapendwa wao; waliojeruhiwa baada na kabla ya October 28th.

Ifike pahala kila mtanzania afurahie kuzaliwa Tanzania na haki zake zote za kikatiba azipate bila masharti yoyote yale. Hii nchi ni yetu sote bila kujali dini na itikadi zetu.
 
Sasa Kama wanamkubali kwa Nini mliingiza masanduku ya Kura yaliyokwisha pigwa kwa ccm kwenye vituo. Kwa Nini mli media zote mlizizuia kulipoti Mambo au campeni za lisu Kama jpm anapendwa.
Kitendo cha kulalamikia kuibiwa kura kila uchaguzi na kuendelea kushiriki uchaguzi bila kuwa na suluhu ni kuprove failure kwa walalamikaji, sio kwenye uchaguzi tu. Ila hata kwenye uongozi.
 
Waliokufa Zanzibar wote walipwe fidia kubwa na waliosababisha kufa wawajibishwe
 
[emoji2][emoji2][emoji2] watu wa ufipa mnachekesha Sana kwa kujipa matumaini kwa Mambo yasiyowezekana.
Sawa mkuu ita majina yote ila elewa hata mbuyu ulianza Kama mchicha, na kwa tahalifa sijawahi kuwa mtu wa ufipa au lumumba,but penye neema ya mwenyezi mungu mwaka huu matumaini kuwa member wa Ufipa namanisha nitajiunga na CHADEMA mwaka huu mkuu. Tafadhali naomba sala zako nikatimize lengo ilo na mungu atakubaliki sana.
 
Kitendo cha kulalamikia kuibiwa kura kila uchaguzi na kuendelea kushiriki uchaguzi bila kuwa na suluhu ni kuprove failure kwa walalamikaji, sio kwenye uchaguzi tuu. Ila hata kwenye uongozi
Kwa hiyo muendelee kuiba sisi tukae kimya kwa sababu hamna lolote linalofanyika hata mkiiba!
 
Zanzibar zipo video ushahidi wa kutosha ICC itaichukulia hatua Zanzibar hakuna cha nini wala nini.
 
Hata mimi nna wasi wasi huo ,tukumbuke tu hawa Watu huwa na Mipango mirefu sana ktk kutekeleza Majukumu yao ya namna ya kudill na ma Criminal.

Tujipe Muda.
Amsterdam told Anti to instigate social unrest so that ge could built up on the case and during the campaign to use militant and provocation acts and language so that the government and its machinery could cross the line and arrest him or his supporters or mishandle them , which will add up to the credibility of their claims , including creation of fake votes, and mishandle of their representatives during voting day and during counting of votes.

After all those issues have failed they opted to create another movie of fleeing the country on pretext that they are persecuted 😀😂🤣😃😅.

Mbona Mwenye Saccos yake hajakimbia licha ya Anti kumtia hasara ile mbaya, siku zote Mwenye Saccos yake amekuwa akifanya biashara yake vizuri tu.

Zzk hajakimbia, Mzee wetu wa Pemba Mnazi hajakimbia, Mchungaji, Sugu wote hawa hawajakimbia, wabunge wetu watarajiwa wasichana hajakimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…