ID ya Kidukulilo nimeiacha baada ya Kuibuka Matapeli huko Mitandaoni. Natumia Bill Lugano (Billionaire Lugano)

Mkuu kama ni mwenyeji huko we can arrange. Siyo tatizo. Utanambia tu nini na nini vinahitajika.
 
Tajiri asiye na makuu. Mpole na mnyenyekevu. Matajiri wengine hawataki kabisa kujiunga JF na pia kushare na vijana mawazo yao. Ila Jamaa kajitolea bado kuna watu wanamchukia.
 
Kwako the coming Kiduku lilo
 
All in all Huwa na enjoy thread za KIDUKULILO
Amefanana Sana tabia na bro mmoja wakuitwa Visent alikua Rafiki ake na kaka angu sisi Tukiwa wadogo....

Tmk WANAUME wali imbaga nyumbani ni nyumbani basi ule wimbo ulisanifu maisha ya Vicent....

All in all one love kwa KIDUKULILO
 
Boss Lugie naomba niwe CHAWA wako nimechoka kula milo mitatu kwa siku
 
Ukiachilia mbali Sifa za Kipumbavu ulizonazo, Utoto ( japo ni Mkubwa ) na Ushamba unaokusumbua ila hata katika Maelezo yako hasa Kiuandishi hapa unaonekana ama si Mwanaume Riziki au uko mbioni kutokuwa Mwanaume Rijali.
Ushamba unakusumbua.. na wivu wa vitu fictional utakuua..
 
Huyu Bill Lugano naona watu wengi wanamkubali sanaaaaa, bila shaka yupo vzr na anazikonga nyoyo za watu vizur kabisa. Acha nam nianze kumfwatilia vzr huyu upendo wa kinyakyusa[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…