Idadi kubwa ya Waislam (99%) inaweza kuwa kikwazo cha Uturuki kutokuwa mwanachama rasmi wa EU?

Mpaka sasa wanatamani sana ila inaonekana wanabaguliwa kwa sababu ya uislam wao.
Hayo majamaa ni matahira kama waliweza kuwaruhusu USA kwenda kuua ndugu zao (race moja) tena Waarabu wenzake majirani-unaona hao watu sana akili sawa sawa.
Waarabu wa turkey na Soud Arabia wanatumika kama ma toilet paper.
 
Hayo majamaa ni matahira kama waliweza kuwaruhusu USA kwenda kuua ndugu zao (race moja) tena Waarabu wenzake majirani-unaona hao watu sana akili sawa sawa.
Waliruhusu ndege kuruka juu ya anga lao kwenda Iraq lakini walikataa katakata bases zilizopo katika ardhi yao kutumika.
 

Kwa Marekani kama superpower, kwake malengo ya NATO hayakuwa hayo uliyoainisha hapo juu. Hayo malengo hapo juu Marekani aliyatumia kuzirubuni nchi za ulaya zikubaliane na kuanzishwa kwa NATO.

Marekani aliweka msukumo kuanzishwa kwa NATO ili kui-control Eurasia militarily kwa kutumia remote control inaitwa NATO. Kwa zama za vita baridi, ili kui-control Eurasia, ilikuwa ni lazima udhibiti Ujerumani isiamke tena kijeshi baada ya mtiti wa WW2 na vilevile kuzuia kuenea kwa nguvu za Usovieti(baadae Russia)ndani ya Eurasia. Kwahiyo, kwa kiingereza wanasema The US NATO Objective were to keep the Germans down and Russians out!
 
Thanks
 
Imekaa poa sana
 
Sababu kubwa ni
i)Uchumi dhaifu wa Uturuki, ii)Cyprus kuruhusiwa kuingia EU kabla ya Uturuki . ifahamike Uturuki wanatambua eneo la Cyprus kama sehemu yao kama ilivyo kwa Palestina na Isreal
iii) Demokrasia dhaifu ya Uturuki inasababisha isikidhi vigezo ya EU
iv) Idadi kubwa ya Watu tena wengi wakiwa Maskini
v) Uturuki ina asili na changamoto ya kuwa na migogoro isiyokwisha wana ugomvi na Ugiriki, Cyprus, nk
vi) Jiografia ya Uturuki pia ni kikwazo EU wanaona kama ni mtoto wa kambo/Bara lingine japoUturuki ipo Ulaya na Asia


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…