Idadi kubwa ya Waislam (99%) inaweza kuwa kikwazo cha Uturuki kutokuwa mwanachama rasmi wa EU?

Wazungu wanawabagua sana waislam
 
Umejitahidi sana
 
Waturuki ni wazungu acha uongo
Waturuki si wazungu Wala so waarabu wao Ni race inayojitegemea Ni Kama walivyo waajemi na Wayahudi.. Na waturuki hawapendi kunasibishwa na uarabu coz wanaamini waarabu Ni inferior .
Kwa wasiowajua huwafananisha na waarabu lakini Wana tofauti kubwa Sana hasa katika mavazi na muonekano.
Nb googl upate zaidi
 
Huu ni uongo wa mchana kweupee
 
Uliwahi kuishi Turkey?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…