Idadi ya wanawake niliopita nao mpaka sasa

Uzuri na wewe unaenda kula kete(mabwana )zote za mkeo mtarajiwa na yeye amekula kete zako zote ... Mbwa kala mbwa....
 
Naisi hatujapishana Sana

Je Kati ya hao asilimia ngapi ulipiga kavu ma wengi ndomu


Mim asilimia 90 nimewala kwa ndomu
 
Hongera Sana. Ni Kweli nyama ni ile ile?
 

Mzee haina afya hii utamsumbua tu mke wako mtarajiwa. Hebu jicheki lazima pepo likuingie aitha uote nyoka anataka kukugonga usiku au mjusi anataka kungata sehemu za siri.....
 
miaka ileeeee, nikiwa nimeenda kumpitia jamaa yangu getoni kwake tuwahi discussion ya weekend shule...akiwa yupo bize na kujiandaa, NIKAKAFUMA kadaftari Fulani hivi chini ya kimeza, kukafungua na kuanza kusoma, nakuta ni majina ya wasichana watupu, na mbele ya jina kuna tarehe🧐🧐

sikuelewa maana yake, aliporudi ndani kutoka kunawa nikamuuliza,.....oya vp hichi kidaftari hapa...akashtuka kidogo, kisha akiendelea kujifuta maji na taulo, akaniambia, aaaha, hiyo ni orodha ya Mademu niliopita nao,..huwa napenda tu kunote🧐🧐

alooh!...nilishtuka, maana ilikuwa ni orodha ndefuu sana,....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…