Idadi ya watu wanaonuka midomo inaongezeka kwa kasi Tanzania

Idadi ya watu wanaonuka midomo inaongezeka kwa kasi Tanzania

Hasahasa na haya matumizi yaliyozaga mijini ya ugoro, sigara na highilife,sijui double kick, vitoko, k vant na konyagi za kupima kwa vijana hususani wa vijiweni, bodaboda, makonda mtu atapata wapi mda wa kwenda kupiga mswaki

Serikali iingilie kati kunusuru hii hali mabinti wanaotembea na hao watu watakuwa wanapata shida sana
 
Hasahasa na haya matumizi yaliyozaga mijini ya ugoro, sigara na highilife,sijui double kick, vitoko, k vant na konyagi za kupima kwa vijana hususani wa vijiweni, bodaboda...
Ukimaanisha wenye ilo tatizo ni wanaume tu ndio maana umewaonea huruma wenzi wao?

Au nimeelewa vibaya[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mtu akifungua mdomo aongee kidogo utadhani amekula kipisi cha nnya kudadadeki 😂😂

Kiukweli elimu ya afya ya kunywa haitolewi kabisa na Hawa dentists hawana hata kampeni za kusaidia watu kuwakumbusha check-up za mara kwa Mara, kuangalia fizi Kama zipo salama, meno, usafi wa koo nk.

Unajua kunywa kutoa harufu kali inaweza kuwa tatizo sio kinywani Bali kwenye Koo au magonjwa ya tumboni au kwenye mfumo wa kupumua daktari wa kinywa anaweza kukuambia hii harufu haitoki kwenye kinywa akakushauri umuone daktari wa Koo nk.

Lakini binafsi nimeshuhudia watu anakaa na mswaki miaka mitano mpaka unajikunja na Bristol's hazisugui meno vizuri kwenye gaps Ila anao tu na Hana mpango wa kubadilisha mpaka ausahau akisafiri ndio atanunua mpya huko.

Mswaki ukipita miezi minne Hadi sita utupe no matter how mzima unaonekana otherwise Kama unaweza uchemshe na maji Moto plus kuulaza kwenye special dawa ya kuua wadudu hapo waweza kukaa nao zaidi napo kama haujaanza kujikunja.

Otherwise tupa tu kwani mswaki shilingi ngapi jamani? Tena hii mingine Mia tano sijui the cheapest au hata Kama umenunua 6000 au 10,000 Ile ya umeme bado haikufanyi ukae nao Kama ndio utazaa mswaki mwingine.
 
Ukimaanisha wenye ilo tatizo ni wanaume tu ndio maana umewaonea huruma wenzi wao??au nimeelewa vibaya[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa uzoefu wangu na aina ya vijana niliowataja wengi ni wanaume , ila kiukweli kwenye hii jamii yetu wanawake kwa asilimia kubwa wanajipendaa sana na kujali mambo ya usafi na kunukianukia kulipo sisi wanaume ,sisi wanaume weni wetu tupo simple sijataka kutumia neno rough nisije wauzi watu.

Mimi job mfano wanawake wanaongoza kwa kunukia sana ingawaje wengine perfumes zao hadi zinakera pia wanawake nimeona pia pale job wanawakei wanapenda sana kutafuna bublish na kula pipi kali kulipo sisi wanaume.

Sasa wanaume baadhi kuna wengine wanavuta fegi wakichomoka kwenda kupiga tea anavuta na sigara akiingia ofisini unajua tu jamaa kashachoma fegi hata ale bublish gani harufu haiishi.
 
Unajua kunywa kutoa harufu kali inaweza kuwa tatizo sio kinywani Bali kwenye Koo au magonjwa ya tumboni au kwenye mfumo wa kupumua
Wengi hawajui hili, wanakomaa wee na kinywa peke yake, anapiga mswaki mara 5 kwa siku, hola
 
Back
Top Bottom