Idara ya Uhamiaji sasa kuwa Jeshi kamili na litawajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu

Idara ya Uhamiaji sasa kuwa Jeshi kamili na litawajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu

Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.

Chanzo: ITV habari
 
Kuongeza nidhamu kwa kuwajibika kwa Amiri Jeshi Mkuu ambaye anamuhofia kumtimua kazi zero pamoja na kuvurunda kwa kiasi kikubwa ná jeshi hilo kukosa nidhamu kabisa na kusababisha Watanzania kila kona nchini kulichukia jeshi hilo kwa kutenda dhuluma na udhalimu kwa Watanzania!? 😳
Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu

Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.

Source: ITV habari
 
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.

Source: ITV habari[/QUOTE]

Litajiendesha kwa amri kwani hapo mwanzo lilikuwa halina amri? Au lizidi kupewa amri ili kuhujumu wapinzani juu ya uraia wao?

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Kwahiyo wahamiaji haramu watakamatwa na uhamiaji moja kwa moja na sio polisi tena?
Uhamiaji tangu zamani wanakamata na hata wewe sheria inakuruhusu kukamata mhalifu, ila mwisho wa siku masuala ya upelelezi ni taaluma ya askari polisi.
Huwezi kukuta askari wa uhamiaji kawa detective labda ije sheria gani sijui
 
Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu

Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.

Source: ITV habari
Waweke hadi mgambo wabebe smg na ak47 wasaidie ccm....hakuna jipya...
 
Kuongeza nidhamu kwa kuwajibika kwa Amiri Jeshi Mkuu ambaye anamuhofia kumtimua kazi zero pamoja na kuvurunda kwa kiasi kikubwa ná jeshi hilo kukosa nidhamu kabisa na kusababisha Watanzania kila kona nchini kulichukia jeshi hilo kwa kutenda dhuluma na udhalimu kwa Watanzania!? [emoji15]
nadhani ulicho andika hapo kina refer jeshi la police?
 
hapo jeshi kamili ni moja. JWTZ
mengine ni paramilitary
Kwa mujibu wa Katiba majeshi yako mengi sana.
Sijui ilikuwa mistake au nini, eti jeshi la Polisi, sijui linapambana na nani

Jeshi la Magereza linapambana na nani? Kazi ya kubadilisha tabia za wahalifu au wafungwa linahitaji wanasaikolojia, wataalamu wa fani mbali mbali kwa ajili ya kufundisha njia mbadala za maisha, sasa askari wa kukesha analinda atamfundisha nini mhalifu wakati ye mwenyewe ana stress zake kibao
 
Wanaongeza tu idadi ya watu wa kutuchapa kwenye mabaa,polisi,jw,magrz wote hawa wanatunyanyasa mitaani
 
Back
Top Bottom