Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Serikali Itakuwa Na Ghala (Gunners)TANAPA
TAWA
NCAA
TFS.
Yote yashakuwa majeshi kitambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali Itakuwa Na Ghala (Gunners)TANAPA
TAWA
NCAA
TFS.
Yote yashakuwa majeshi kitambo
statisticaly nope. sijatarijii hizo maqna hata current record hazipo nyingiSasa ndiyo zinaongezwa!
Swali la msingi ni kwanini iwe hivyo ??Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.
Chanzo: ITV habari
Umeambiwa kuongeza nidhamu!Swali la msingi ni kwanini iwe hivyo ??
And the like.etcJW
TISS
POLICE
PRISON
IMMIGRATION
FIRE
.....
....
...
....
Hayo ni maandalizi ya kujidhihirisha mpinga kristo, mifumo inasukwa upya ku centralize information kupitia njia za kielectronik.......mifumo ya malipo, kusajili watu nk. na kuongeza command zaidi kuweza kuthibiti watu, time will tell......Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.
Chanzo: ITV habari
Nope. hizo taasisi zote ni jeshi moja la maliasili.TANAPA
TAWA
NCAA
TFS.
Yote yashakuwa majeshi kitambo
Hivi sasa ni watukutu!Umeambiwa kuongeza nidhamu!
... duniani kote hiyo ndio setup; Uhamiaji wako Mambo ya Ndani (Internal Affairs). Dhima kuu ya Mambo ya Ndani ni usalama wa raia na ili hilo litekelezeke ni lazima kuwatambua raia wote (including wageni waliopo nchini) ndio maana ukiacha Uhamiaji, NIDA pia wapo Mambo ya Ndani. Uhamiaji (na Mambo ya Ndani kwa ujumla wake) wanashughulika na wageni wanaoingia kiraia; wale wanaojaribu kuingia "wamevaa kombati" hiyo ni kazi ya JWTZ.Idara ya Uhamiaji au Jeshi la Uhamiaji ndo jicho la Taifa hasa kwa wageni na Raia wa nchi hii, kwa unyeti wake inapaswa iwe section ndani ya usalama wa Taifa au ipelekwe wizara ya ulinzi.
Kwani hao usalama wa Taifa wapo wizara gani na ufanyaji wao kazi una endana na taratibu za utendaji za uhamiaji? Wanaposema ulinzi wana maana mipaka so automatically ni JWTZ na kamandi zake swali uhamiaji ni jeshi au idara?.....nyongeza ufanisi wa chombo hautegemei wizaraIdara ya Uhamiaji au Jeshi la Uhamiaji ndo jicho la Taifa hasa kwa wageni na Raia wa nchi hii, kwa unyeti wake inapaswa iwe section ndani ya usalama wa Taifa au ipelekwe wizara ya ulinzi.