johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.
Source: ITV habari
Labda!Kwahiyo wahamiaji haramu watakamatwa na uhamiaji moja kwa moja na sio polisi tena?
Uhamiaji tangu zamani wanakamata na hata wewe sheria inakuruhusu kukamata mhalifu, ila mwisho wa siku masuala ya upelelezi ni taaluma ya askari polisi.Kwahiyo wahamiaji haramu watakamatwa na uhamiaji moja kwa moja na sio polisi tena?
Si umesikia linakua jeshi kamiliUhamiaji tangu zamani wanakamata na hata wewe sheria inakuruhusu kukamata mhalifu, ila mwisho wa siku masuala ya upelelezi ni taaluma ya askari polisi.
Huwezi kukuta askari wa uhamiaji kawa detective labda ije sheria gani sijui
Kwahiyo likiwa jeshi alafu? Uliwahi kusikia Magereza wanaendesha kesi zao wenyewe zaidi? Yaani wakamate, wapeleleze kesi n.k?Si umesikia linakua jeshi kamili
Waweke hadi mgambo wabebe smg na ak47 wasaidie ccm....hakuna jipya...Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.
Source: ITV habari
Ni swala la kisheria tu. Hata Polisi wameondolewa uwezo kuchunguza rushwaUhamiaji tangu zamani wanakamata na hata wewe sheria inakuruhusu kukamata mhalifu, ila mwisho wa siku masuala ya upelelezi ni taaluma ya askari polisi.
Huwezi kukuta askari wa uhamiaji kawa detective labda ije sheria gani sijui
Jeshi usu la kupambana na UJANGILI, wale jamaa wanaua kimya kimya. Ni hatari na nusu.JW
TISS
POLICE
PRISON
IMMIGRATION
FIRE
.....
....
...
....
nadhani ulicho andika hapo kina refer jeshi la police?Kuongeza nidhamu kwa kuwajibika kwa Amiri Jeshi Mkuu ambaye anamuhofia kumtimua kazi zero pamoja na kuvurunda kwa kiasi kikubwa ná jeshi hilo kukosa nidhamu kabisa na kusababisha Watanzania kila kona nchini kulichukia jeshi hilo kwa kutenda dhuluma na udhalimu kwa Watanzania!? [emoji15]
hiyo sheria ikipita ndivyo itakavyokuwaKwahiyo wahamiaji haramu watakamatwa na uhamiaji moja kwa moja na sio polisi tena?
hapo jeshi kamili ni moja. JWTZJW
TISS
POLICE
PRISON
IMMIGRATION
FIRE
.....
....
...
....
Kwa mujibu wa Katiba majeshi yako mengi sana.hapo jeshi kamili ni moja. JWTZ
mengine ni paramilitary